Habari za muda huu JF wadau wote, kama kichwa cha uzi kilivyo elekeza, nahitaji hiyo bidhaa tajwa, kwa mtu anaejua chimbo kwa kkoo au ni kiwandani anaweza kunichek katika namba hii 0653914963...
KUNA PAGE HAPA SINA KAZI NAYO NIPENI HELA MPIGE PESA ZA ZUCK
Kama unataka ukurasa ambao una watu wengi tayari basi huu hapa nipe hela umalize kwa kuweka video 2 pekee na ukidhi masharti
Haina...
Hp ya kazi kazi haswaaa…👇
Hp ProBook 650 G2✅
Core i5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅
Processor 2.4GHz✅
Kioo inch 15’✅
Numerical keyboard✅
Generation 6✅
Type C port✅
All important ports✅
Battery 2 to 3...
Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Mbiu.
Sifa za Nyumba:
*Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga.
*Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni...
• Direction:
njia panda ya Makabe, karibu na Goba Road
• Features:
self contained ya vyumba 4 kimojawapo master
• Facilities:
maji, umeme, haina uzio wa ukuta
• Ideal:
makazi
• Survey:
eneo...
Wakuu
Kama muonavyo kwenye picha, hawa ni baadhi ya Kuku ambao nauza.
Kuku wapo Dar es Salaam, Mbweni JKT kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24.
Wakuu,
Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone.
Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu...
Habari za asubuhi wakuu,..?
Aisee ninaomba msaada mwenye kufahamu wapi nitapata viroba vya kilo mia, mia hamsin, vyakubebea mahindi, mchele, nk.
Ninahitaji pisi nyingi, kuanzia elfu kumi...
Natumaini nipo poa kabisa!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatoa huduma ya kuprint viroba vya kg 50,25,10,5 kwa bei nafuu kabisa ... Ofisi ipo Tandale sokoni namba ya simu ni 0674 864...
Hostel ya vyumba 12 inauzwa Tanga Kange kasera Kwa bei ya million 50 Top no dalali … Ina kila kitu hati miliki…. Ni sqm 412 … ipo kange kasera karibu na chuo cha utumishi …. Kwa mawasiliano 0612630936
Wakuu naomba msaada natafuta godoro zuri 6*6 inch 12 u 14 ambalo litanifanya nikilala nione nimelala sehemu nzuri na salama mnoo kwa mwili wangu, kuepusha maumivu ya mgongo, gharama ya godoro ilo...
Sajili kampuni yako sasa kwa 350,000
Tutakusaidia usajili
1. Brela utapata cheti haraka
2. TRA makadirio madogo ya kodi
3. Maombi ya leseni
Yote haya kwa 350,000
Kwa mawasiliano zaidi
0765042935...
Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla
Specs:
Macbook Pro
display Retina Iris display 13.3'
RAM: 16GB
Storage: ssd 500GB
Processor intel core i 5...
Habari wakuu?
Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua...
Nimeona wajasiriamali tukutane hapa kwa kubadirishana mawazo juu ya madini ya aina mbalimbali. Ni kwa kuuliza maswali, kurusha picha za madini, kupeana ushauri, kujenga mtandao, masoko, nk.
Sent...
Apple Iphone 13 pro 128 GB
•Face id✅
•Battery health 81
•Ina network lock(unaweza tumia •Gevey sim card au ukalipia deni ikawa unlocked)
Simu Imetumika wiki moja tu tangu itoke nje ya nchi
Price...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.