Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

TANGAZO TANGAZO. Kwa huduma Bora za kiteknolojia, karibu AVANOS COMPANY Kwa huduma zifuatazo; 1. Kufunga GPS kwenye pikipiki,bajaji & magari,na kuunganishwa Kwenye simu Yako, hivyo kuona chombo...
2 Reactions
5 Replies
864 Views
Habari zenu, Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana. Hivyo Ninauza 1. Containter...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Mileage 47000+Km Bei Milioni 11 Taarifa na Documents zote muhimu zipo. Mteja aliye serious , karibu sana 0621 396 550
1 Reactions
6 Replies
346 Views
Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation...
1 Reactions
14 Replies
752 Views
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo...
0 Reactions
6 Replies
561 Views
Kitabu cha "The 48 Laws of Power" kilichoandikwa na Robert Greene kinachunguza sheria 48 zinazolenga kupata na kudumisha mamlaka na nguvu katika ulimwengu wa kisasa, kielimu, kijamii na kimaisha...
10 Reactions
16 Replies
5K Views
AC,Motor,au Friji havifanyi kazi vizuri sabababu ya unaishi eneo lenye umeme mdogo?(LOW VOLTAGE)Suluisho lipo. Je unafahamu umeme mdogo ni hatari kwa vifaa vyako vyenye aina ya motor,sababu...
1 Reactions
11 Replies
291 Views
Pata ramani nzuri na za kisasa zaidi Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla Mawasiliano...
13 Reactions
465 Replies
64K Views
Kwa mahitaji ya sabuni za savonor za vipande(kutoka burundi) SIFA ZA SABUNI 1.ZINA POVU LA KUTOSHA 2.ZINAFAA KWA MAJI AINA ZOTE 3.ZINAFAA KWA KUFULIA 4.ZINAFAA KWA KUOGEA Kwa muhitaji karibu...
1 Reactions
34 Replies
564 Views
KARIBU KENZO ACCESSORIES Kenzo accessories ni wauzaji wa Accessories zote za simu, saa na Smartwatch tunauza jumla na rejreja ACCESSORIES TUNAZO UZA 📌Smartwatch 📌Saa za kawaida 📌EarPods...
1 Reactions
28 Replies
519 Views
Jipatie pikipiki aina ya HONLG, hii kwa lugha nyingine unaweza kusema ni chopa,ikitembea imetembea mf. Cc 250 ukiondoka na basi toka Dar kwenda Kwanza,basi litakukuta ulishasinzia kabisa. HONLG Cc...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapi ni mahali au shop ya kuaminika kufanya service ya electronics hasa TVs kwa Dar.
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Baada ya kuchapisha nyuzi kadhaa za kuomba ushauri na changamoto ninazo pitia kipindi hiki cha njaanuary, nmepokea maoni na sasa sina budi kuweka mnadani kifaa changu cha kazi niweze kutatua...
3 Reactions
13 Replies
664 Views
Habari zenu wadau,hasa wakazi was Arusha. Naomba msaada mwenye kujua,natafuta single self budget 80k isizidi 100k maeneo ya moshono,nikipata nyumba ikiwa mpya,ina geti itakuwa POA zaidi
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'Undelete'
1 Reactions
7 Replies
271 Views
Bei : 250,000/= Imetumika mwezi 2 tu . Kwa mawasiliano : 0678650509
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897
6 Reactions
36 Replies
1K Views
WanajamvI anahitajika fundi mtalaam wa kuweka urembo kwenye NGUZO za nyumba mwanza
1 Reactions
8 Replies
855 Views
Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe...
0 Reactions
2 Replies
191 Views
Back
Top Bottom