Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Duka la vifaa vyote vya bafuni na masink ya jikon na dining bila kusahau mabomba ya maji. Duka linapatikana Kariakoo/Gerezani mtaa wa mbaruku/Nyamwezi str,dar es salaam, Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Nyumba ipo sokoni inahitaji finishing tu. Piga sim kwa mmiliki 0692547049 au 0768628314 Ina vyumba vya kulala 4 Master 1 Sebure kubwa sana Chumba cha chakula Jiko Stoo Vyoo vya ndani Kisima kipo...
5 Reactions
94 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu! Tafadhali kama unajua duka (Dar es salaam ama Dodoma) ambalo naweza kununua hii mashine ya kuzibia chupa za mvinyo (wine) ambayo kwa Kiingereza wanaiita 'wine bottle corker...
0 Reactions
4 Replies
993 Views
Kiwanja kipo king’azi njia ya kinyerezi kwenda mbezi, sio mbali na kwa dr ndodi, kiwanja, umeme na maji vipo hapo hapo, bajaji kwenda mbezi ni buku, pikipiki zipo, magari ya kukatiza route kutoka...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
Wakuu Wenzangu nauza hiki kitabu cha dua na Mafanikio ya Ukweli kwa Mwenye kukitaka nakiuza ni Dola 70 kimeandikwa kwa lugha ya Kiingereza haya karibuni kwa kila mwenye matatizo ya maisha...
6 Reactions
106 Replies
52K Views
Kwa wanaohitaji aina yoyote ya visa ya marekani, Canada au schengen (Belgium, Germany, Italy, France, Norway ,Sweden, Denmark. Etc) ni PM tunakusaidia kuprocess visa, maandalizi ya interview...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Kama kichwa Cha Habari kinavyosema NB: iwe katika condition nzuri, ukiniletea kimeo nakufunga
5 Reactions
28 Replies
884 Views
Vipi wadau, kiwanja kizuri kwa kujenga(flat) kinauzwa Zingiziwa Hospital. Bei 5,000,000. Tuwasiliane kwa namba 0677089280.
0 Reactions
14 Replies
780 Views
Sina shaka na huduma za kitaalamu za Mwl.RCT. He is best compared to others. Maana nilinunua king'amuzi cha Best HD4U kwa mtu flani hata kujua account imebakiza muda gani alininyima elimu hiyo...
7 Reactions
1K Replies
212K Views
Habari' KWA WAWEKEZAJI, MAABARA YA AFYA/ MEDICAL LABORATORY Inauzwa. Imekamilika kila kitu. Umeme wa Tanesco na sola poa ipo Haina shida yoyote. Mil.7 kwa mil. 11.5 Tayari ina kodi ya Miaka 6...
0 Reactions
9 Replies
990 Views
HP pavilion 360° RAM 4GB ROM 128GB Kwa specifications zaidi angalia pics mapungufu iliyonayo :- 1.Betri aidumu na chaji 2.Screen imecrack kidogo hivyo screentouch haifanyi kazi eneo hilo...
0 Reactions
15 Replies
529 Views
Bahati ya kununua kiwanja/nyumba kwa bei nafuu sana imejengwa kwenye kanuni maalumu. Kwa kanuni hiyo ni lazima uweke juhudi kubwa. Juhudi kubwa ndiyo ndugu wa bahati ya kununua kiwanja au nyumba...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single. Lipo sokoni kwa sasa sina matumizi nalo... NIMEOA. VERY STRONG. BEI KITONGA...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Hello waungwa nauza Fiat yangu ya kubebea mchanga Iko kwa Mrombo ARUSHA . Iko vizuri sana Ni kuwasha na kwenda Korongoni . Sababu za kuuza ni madereva wananizingua . Bei ni milioni 15 maongezi yapo
1 Reactions
4 Replies
572 Views
Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome una kila kitu ndani yake Fixed sound system LED Screen Stage Fixed Lights Fixed Camera Tables and...
1 Reactions
0 Replies
495 Views
Sabato njema! Ni HP, HDD ni 500GB, CPU ni 2.4 GHZ, RAM ni 8GB. NB: Haina tatizo lolote isipokuwa battery yake haikai na chaji zaidi ya dk 30. Location ni DSM. Nataka niongeze hela ninunue mpya...
0 Reactions
7 Replies
466 Views
Asking Price 150,000
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Kina ukubwa wa sqm 1566 kipo karibu na magorofa ya NSSF kimepimwa tayari hati inatoka moja kwa moja kwa jina lako huitaji transfer Bei ml 20 kipo mita 150 toka lami ilipo nicheki 0713672719/0787672719
3 Reactions
182 Replies
20K Views
Iwe mkoa wa arusha au moshi kama ipo mawasiliano kupitia namba 0763506458
1 Reactions
6 Replies
337 Views
Habari wana jukwaa! TAARIFA: KIWANJA KIMESHAUZWA Note: admin sijaelewa kwa nini tangazo la kwanza mmelifuta. Tafadhali naomba msifute au laah niambieni nakosea wapi Nauza kiwanja changu kipo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom