Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Je una mitungi ya gs usoitumia au usiyoihitaji iwe kg 6 kg15 kg30 nanunua kwa bei nzuri hata iwe kwene hali mbaya chakufanya npigie au nitext ukinambia ni kg ngap kampun gani unauuza sh ngap...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta redio aina ya Kenwood used kama mtu anayo pamoja na speaker zake mbili
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Tunafunga full security systems {alarm} pamoja na full music systems kwenye magari aina zote kwa bei nafuu ofisi zetu zipo Magomeni Mapipa DSM Kwa mawasiliano tuwasiliane 0654838131
0 Reactions
1 Replies
895 Views
nahitajai mtaalamu wa kudarizi t-shirt na mashati haraka, 0715 81 21 60
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Piece 3 kwa elfu 50 na elfu 60 Kwa maelezo piga 0783 132193
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Suzuki Escudo, Helly Hansen, 1996, Only 73762 KM, Manual, 4WD. Duty Paid Lady driven Car- Very Few Miles and well taken care of. Price: 6,000,000 For more information please contact Naike...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Elfu 50 anayehitaji tuwasiliane me nipo Mwenge 0653491308
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta nguo za Ben 10 kama hizo zinazoonekana kwenye picha, duka gani naweza kupata hapa Dar? Mwanangu ana birthday na ningependa apige moja wapo ya hizo pamba. Msaada wadau.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
KWA WAKAZI WA ARUSHA PIKIPIKI INAUZWA AINA SKYMARK ANAYEHITAJI ANI CHECK KUPITIA 0688095909 BEI Tsh 900000 IKO VIZURI INA KILA KITU
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pata nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara or firm yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza cm hiyo hapo juu Niko dar Contact 0758293598
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tecno phantom a used for 3weeks for sale 99000tsh, nilikua naitumia wakati nachajisha ikazimika gafla, waweza tumia kama spea au unaweza kutengeneza, box, charger vipo. My no. 0769038065.
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Natafuta sungura na njiwa kwa ajili ya kufuga wa kila aina tafadhali
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa vikindu jirani na chuo kikuu kipya st Augustine (about 800M kutoka chuo) Ukubwa ekari moja bei 15m. Wahi fursa hii kwani wengi hawafahamu kuwa kuna university inakaribia...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Habari za asubuhi wakuu....nauza tecno phantom a plus bado mpyaaaaaaaa......ipo na all tx accessories. #bei laki 2 na 50......... 250,000 ###km unaihitaji ni PM tufanye biashara
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale wenye kuhitaji kununua matikiti kwa jumla, tunawakaribisha kufanya biashara nasi. Tunayo mashamba makubwa ya matikiti yanayozalishwa kisasa kutumia njia ya umwagiliaji wa matone. Kwa...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Habari wana jf,nauza dell d630 imetumika miezi 5.charge masaa matatu(3),haina ttizo lolote bei 280k.mawasliano 0659626782
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Umofia kwenu wana JF, Nilikuwa namsikiliza zembwela supermix alikuwa anamuhoji mjasiliamali mmoja ambaye amesema mtu akienda kujiasaidia kwenye choo chake haja kubwa anamlipa buku kwahiyo mtu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
habari zenu wapendwa, natafuta starlet automatic au corolla automatic kwa shiling milion 2, kwa aliyenayo nijulishe kwa simu 0716 002323
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni toyota probox imetembea km 36517,cc yake 1298 na ni ya mwk 2004 bei yake ni mil 9 tu kwa mawasiliano zaid tumia hz no 0768359292 na 0652359291 biashara ni maelewano na picha zake chin hapo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom