generator aina ya Boss lenye
Voltage 220v
Related frequency 50Hz
Related output 6.0kw
maximum output 6.5kw
power factor 1.0
lilikua likiitumika kusukuma pamp ya kisima .ila tumebadilli...
Jee unatumia AZSKY G2 kuanagalia bure madish hayo niloyataja hapo juu?
Kama jibu ndio basi watu wengi wanadhani hizo vifaa zimefungwa ila kufungwa haviwezekani kwa kuwa unatumia subscription...
Ni muda mrefu nimefikiria namna ya kuwa komboa wafugaji wa samaki namna ya kufanya samaki wapate oxgen ktk mabwawa ili wakue vzr na mfugaji apate faida kubwa.
sasa nimegundua njia rahisi itakayo...
Habari,naitaji gari tajwa apo juu ila iwe namba C AND LOW MLG,pia kama unayo type iyo we sema bt iwe toyota,0756664797,,0689211494,ikipatikana mwanza itakua bora zaid
TOYOTA LANDCRUISER PRADO INAUZWA
Year: 2011/9
Mileage: 38000km
Options: Digital TV Push start
CC: 2700
Fuel: Petrol
Color: Black
Transmission: FAT
Location: Japan (inachukuwa siku 23 hadi 30...
Kwa kua mimi ni mmoja wa wadau wa hili jukwaa ningependa pendekeza kitu. Mpaka sasa hivi nimeona matangazo mengi yanayowekwa hapa hua hayajitoshelezi (details chache), yani kwa kusoma tu tangazo...
Samsung Galaxy Note 2--N7100,
Used & Haina michubuko,
8mpx camera & 1.9mpx camera ya mbele, Flash,
Android OS, 4.4 Kitkat,
16GB internal memory, 2GB ram
Bei ni 570,000 Tshs.
Wakuu ninauza Starlet ya mwaka 1998, cc 1330. Imetembea km 124810. Haijasajiriwa na wala haijatumika hapa nchini. Ina milango 4 na seat 5. Inarangi ya dark-blue. Bei ni 8,000,000 mpaka usajili...
Nauza portable laptop aina ya ACER ina 1Gb memory, storage ni 160 GB na betri yake inafanya kazi kwa muda wa masaa 6 mfululizo kwa Tshs. 300,000 tu. Laptop bado mpya nimeitumia kwa muda wa wiki...
SHAMBA LINAUZWA (kiwanja chenye ukubwa wa hekari 1).
Shamba na kiwanja linauzwa, lipo vikindu mjini wilaya ya mkuranga mkoa wa PWANI. Lipo pale pale mjini na karibu na barabara mita 50 tu kutoka...
eneo linauzwa lenye ukubwa wa heka moja na robo na lina nyumba yenye
a.room 5
b.choo
c.na jiko
ipo maeneo ya Silent Inn mita 300 kutoka barabara kuu ya Nairobi-Arusha.eneo lina kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.