hp laptop model 630,goes out for quick sale,only 380,000/= ill give you a free carrying bag and an unlocked tigo modem,coz i won't be using them anymore.
features;
HDD 400GB
RAM 2GB
Processor...
nyumba kubwa ya vyumba titatu vyote ni master,sitting room,dinning room,jiko na public toilet inapangishwa iko kinyerezi stand
kodi ni 500000 kwa mwezi
mawasiliano zaidi piga
0714358610
Dear all,
Kwa anayehitaji simu aina ya iphone 4s yenye iOS 7 kwa shilingi laki 3.5 ani PM kwa mawasiliano zaidi.
More specification waweza check kwa net.
Simu bado iko katika hali nzuri sna...
Habari njema.
Kwa wale wanaohitaji kujenga shule na vituo vya mafuta ukanda wa Tegeta Bagamoyo, sasa maeneo yapo kulingana na mahitaji ya muhitaji. lakini pia viwanja vilivyopimwa ukanda wa...
Jamani hebu mnisaidie hivi wale wanaojitokeza kwenye inauzwa.com na kutangaza kuuza simu kama Baazar,Mobilestorearena na Directshopping kutoka USA,Kenya na Dubai wakisema buy 2 get 1 free and...
Kiwanja kinauzwa Kigamboni eneo la Mwasonga stend kabisa then appx m 200, kimeshapimwa na kipo katika ramani ya mji mpya wa Kigamboni. Ukubwa wake ni Sqm 663 (30/22.5) 26Block C, Chekeni mwasonga...
Wadau habari zenu. Nina mafuta ya alizeti ya ufuta, vilevile yapo mahindi, alizeti yenyewe na ufuta, kwa mafuta nauza kwa bei ya rejareja na jumla. alizeti,ufuta na mahindi nauza kwa bei ya...
Ukihitaji unachotakiwa ni kutucheki kupitia namba 0762225102,, den unatuambia unapopatikana na mzigo unakufwata,,
NB: tunakuletea ulipo ili kama unamashaka na flash zetu,, uweze kuiangalia kama...
Habari wadau!!
Naomba msaada wa kupata contacts za wauzaji wa majiko ya ROTARY OVEN ya kuokea mikate kama zinazoonekana kwenye picha,ziwe mpya au used.
Namba yangu ni 0683370065
Natanguliza...
Wadu natafuta website designer atakae tengeneza website kama hiyo hapo chini,nitaifanyia malekebisho machache to katika muonekano na mbangilio: if you can,urgently send me and e-mail with your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.