Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Shamba liko Bagamoyo.km 3 toka barabarani linaheka 8. Heka 1milion 8 na nusu bei inapungua kidogo kwa alie serious anichek 0654160092
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MIKOPO KWA AJILI YA KUTOA MIZIGO BANDARINI NA KUHIFADHI. UTANGULIZI: Wafanyabiashara wengi, na watu binafsi Kulingana na kipato chao, wanashindwa kutoa mizigo yao bandarini kwa sababu ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamvi nauza gari kama linavyoonekana katika picha ni NISSAN PATROL Bei 12 Million kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0784876210 mazungumzo yapo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A,alykum mabibi na mabwana,wakuu nilikuwa naomba msaada wa kujuzwa jinsi ya kusajili vibali vya daladala kosti yake ni kiasi gani na njiagani nifuate ili niweze kufanikiwa kuvipata .Nashkuru kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi natumia tecno H5 with custom Rom ya Kitkat.... Ambaye ana P5 iliyo katika hali nzuri kama hii yangu, namkaribisha tubadilishane. Ni-PM tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 35 kwa 35 kinauzwa Mbweni. Kipo umbali wa mita 300 tu kutoka Barabara Kuu ya Bagamoyo- Boko Magengeni na mita 70 tu kutoka barabara ya lami iendayo Mbweni. Bei Tshs...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
blackberry ambayo ina mep 0? Yaani ina zero unlock attempts? Nipigie kwa namba 0715353108 au 0756144060 Kariakoo Online
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Kiwanja tajwa hapo juu kinauzwa,bei ni tsh.9 milioni.kipo Dampo kuelekea kwa mromboo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya sasa hii ni spesho kwa wale wote wanaopenda kwenda na wakati karbu upate viatu na handbag za mitumba ya ukweli uvae peke yako mjini kwa bei ndogo sawa na bure kila kiatu na handbag ina bei...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kiwanja kinauzwa maeneo ya maji matitu mzambarauni ni kikubwa sana waweza jenga nyumba mbili kipo karibu kabisa na barabra ya chamazi kama mita 400 kutoka kilipo gari inafika ukubwa:futi 120 kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa vikindu jirani na chuo kikuu kipya St. Augustine.(about 800 kutoka chuo) Kina ukubwa ekari moja bei 15m. Kamata fursa hii kwani wengi hawafahamu kuwa kuna university inakaribia...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Kiwanja kipo madale kwa kawawa,Unaingilia Tegeta Kibaoni, ni umbali wa kilomita zisizo pungua 7KM toka barabarani mpka kiwanja kilipo, kuna makazi ya watu tayari huko wamejenga tu, kiwanja ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sifa za kiwanja ni kama ifuatavyo….. Shamba lina bwawa la samaki lenye ukubwa wa 1 hecta na lina samaki. Lina mbuzi 40, kondoo 50, Bata mzinga 70 na Bata wa kawaida 100. Tafadhali kama...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kiwanja hicho kisizidi 1.5 milioni namba yangu njoo pm
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenye simu Sony experia e3 mpya anipe bei tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
794 Views
kwa yeyote yule anayeuza laptop kwa bei rahisi tuwasiliane kupitia WHATSAPP:+255784531312 MIMI NIPO SINGIDA
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Professional IT Courses Latest Video Tutorials For Sale. 1: WEB DESIGN AND DEVELOPMENT -->>HTML,CSS,Javascript,PHP&MySQL,Bootstrap. Responsive web designing,Wordpress. 2: GRAPHICS...
0 Reactions
4 Replies
977 Views
Habar wadau?
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Samsung galaxy S4 original for sell 2gb ram, 16gb internal storage, 4.4 kit kat android,colour black, remain specification, tizama gsmarena.com...... Price 600,000 Only for serious buyer pm
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bei ni maelewano ... napatikana Tabata Kimanga
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom