Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza galaxy note 3 nyeupe, imetumika kidogo, iko kwenye hali nzuri sana. Inakuja na box na charger. Mawasiliano 0717301520
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa Mwasonga mita 200 kutoka mradi wa visima vya maji. linauzwa Tsh 18,000,000/ (milion kumi na nane) hakuna dalali mawasiliano 0755 909 300/ 0713 229 924
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa, lipo maeneo ya mwasonga baada ya Dar es salaam Z00 mita 200 kutoka mradi wa visima vya maji. Linauzwa Tsh 18,000,000 (milion kumi na nane) hakuna dalali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu lipo maeneo ya mwasonga baada ya dar es salaa zoo. Mita 200 kutoka mradi wa visima vya maji. Linauzwa tsh 18,000,000(milion kumi na nane) hakuna dalali. Maongezi...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Hello members,my name is Victus Temba from Dar es salaam. Ilala. I'm looking for a partner who will be able to provide any necessary needs into our activities. I've been a retailer of wines&...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Nina shida na hela nauza simu tajwa hapo juu! kwa bei ya laki moja na nusu, bei haipungui simu ina miezi miwili tu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau natafuta mashine ya kusaga, hivi inaweza kugharimu sh ngapi na aina gani nzuri na inapatikana wapi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Laki Tano na Nusu,550,000/= Aliyetayari please tuwasiliane 0714959755
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza mafuta ya alizeti safi kutoka Dodoma ujazo ni lita 5, hayajachanganywa ni kitu chochote bei ni sh 16,500 napatikana Mwenge na Makonde Mbezi Beach kwa maelezo zaidi nipigie simu kwa namba hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji kiwanja katika mji wa mwanza maeneo ya Nyegezi.. namba yangu ya simu ni 0754542300..............
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Habarin, kama unahitaji mbao kiasi chochote tuwasiliane, utiifu wa sheria za nchi kama vibali utazingatiwa.. 0782168784
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nataka kuanza shughuri za ufugaji hivyo nahitaji shamba ekari 2 Vigezo; 1.Liwe karibu na barabara au kuwe na barabara inayopitika wakati wote hadi shambani 2.Umeme ukiwa jirani ni added...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nahitaji izo camping tents ziwe mpya na compelete.pia nahitaji portable and convertible chairs na meza pia. nipo dar es salaam. 0755 815174
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za hapa, kama kuna mtu anahitaji mbaazi kiasi chochote tuwasiliane, 0782168784
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viwanja vya makazi vyenye ukubwa wa mita 30 X 15 vinauzwa eneo la Mbezi kwa Msuguri, wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Viwanja vimeshapimwa na huduma za maji, barabara na umeme zinapatikana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hello Tanzania, Karibu Kilimanjaro Film kuanzia tar 18 August 2014,tujifunze namna yakutengeneza filamu zenye ubora na bunifu.Tembelea page yetu ya Facebook:Kilimanjaro film au...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Habari wana jamii,nisaidieni wapi naweza pata soko la kuuza asali?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza DJ mixer na Cd player, aina ni Denon ikiwa na mixet yake aina ya numark na kam kcd 500 iko complete na mixer yake ya Kam ziko pamoja na flight case yake kila moja, Bei ni mil 1 hii ni double...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauza Toyota Vitz New Model ya Mwaka 2006, Imetembea Kilometre 69,000, ina 18 inch alloy wheels, 6 Airbags,Push to start, Ni automatic na inatumia petrol Bei Mil 9 na Nusu, Kwa anayehitaji ani PM....
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Suruali za kike na kiume za kiofisi,mashati ya kiofisi na blous,pia tuna slim fit jeans,tops,mini dress,tops,magauni ya watoto ya kuendea msikitini na kanisani. Napatikana banana ukonga, sina...
0 Reactions
33 Replies
12K Views
Back
Top Bottom