Nokia X2 yenye uwezo wa kusupport whatsApp inauzwa kwa bei ya Elfu 80 tu .
Nipo dar es salaam kwa mawasiliano zaid nicheki kwa 0714499248.
Ukitaka kuijua zaidi Google " Nokia X2".
Kuna mdogo wangu anatafuta chumba kidogo cha ukubwa wa mita 1 hadi 2 upana na urefu mita 3 kwa ajili ya kufanya biashara ya vipodozi na accessories zake.
Kiwe Arusha kwenye eneo zuri kwa maana...
Kuna kaka yangu ana shamba la matikiti maji (water melons) Ruvu Station yameshakomaa kwa kuvunwa yakutosha gar kadhaa yeyote anataka kununulia Mzigo shamban wasiliana na +255 715 476 787 or +255...
Aina ya simu: G G2 -- D802
Hali yake:Mpya,
Uwezo: 16gb internal memory, 2GB Ram,
Camera: 13mpx camera ya nyuma & 2.1 ya mbele & flash,
OS: Android OS, v4.2.2 jelly bean...
Nahitaji pikipiki iwe kati ya aina hizi; FEKON,KINGLION au SUNLG bajeti yangu ni 1M. Iwe haijatumika zaidi ya miezi sita na iwe kwenye hali nzuri. Aliyenaye na interested hiyo bei ani PM
zifuatazo ni baadhi ya sababu za msingi
*utapata (taaluma) au ujuzi kimapana zaidi kama ww ni mtafutaji mzuri.
*mazingira mazuri ya kuishi na kujifunzia pia.
*hali ya hewa ni nzuri, japo kunakuwa...
Natafuta mteja wa eneo la beach kyela 15km kutoka mjini lina mchanga na kina kifupi. Lina apartment haijakamilika. Mil 50 lakini bei inaweza kujadiliwa.
Abel g ndo jina langu,umri wangu ni miaka 26,elimu yangu ni kidato cha sita na nimehitimu mwaka 2013 na kufahuru vizuri kwa daraja la pili ila sikuweza kuendelea na elimu ya juu kwa kukosa pesa na...
Habari ngugu wa Jf nitakusaidia au nitakufutia kiwanja au shamba maeneo yafuatayo:-mbezi luis. Makabe. Msakuzi. Mpigi magoe. Msumi. Msigani. Malamba mawili. Tegete A. Nk. Nilivyo navyo ni m20 kwa...
Aina ya Laptop: Samsung Mini N100SP,
Hali yake: Used,
Uwezo:320hdd, 2GB ram, 1.66Ghz processor Intel Atom n455,
Camera: 2mpx, vga,
OS: Window 7 Home premium,
Sifa...
Habar wakuu
Naulzia mtu anaeuza Sumsing Gallaxy S4 copy ya kwanza, kwa mwenye kuuza simu hii tuwasiliane PM
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
Habari,
Tuwasiliane kama ungependa kununua gari hii. Inafika Tanzania ndani ya week tatu kutoka sasa..
Maelezo ya gari yako hapo chini.
YOM: 2007
Mileage: 61,194
Engine size: 2360cc, VVTi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.