Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
kama unahitaji mwalimu wa uchumi part time anapatikana yupo dar es salaam kama unamhitaji tafadhali pm au mawasiliano 0682484745 ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Salaam, ni sehemu gani kwa Dar es salam naweza pata hizo machine
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nauza simu yangu aina tajwa hapo juu ina miezi 6 iko poa kabisa na headphone zake. Bei ni 90000/-. Kama ukiitaji ni PM.
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Wadau habari za leo natafuta frem ya biasha stationery kwa yoyote mwenye kujua sehemu iwe imechangamka kodi 150,000-250,000 dar. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau natafuta soko la Asali,kwa anaye fahamu anijulishe
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Je Unapenda Kumiliki Shamba au Kiwanja katika Wilaya ya Kisarawe? Nimekuwa nikiulizwa sana na jamaa zangu kuhusu upatikanaji wa mashamba katika wilaya ya Kisarawe. Kwa kuwa mimi ni mzoefu wa...
7 Reactions
28 Replies
16K Views
Habari za leo wakuu kwa mwenye Iphone 5s kama yupo interest tubadilishane nimpe note 2 na hela...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nauza Toyota Cami Haraka. Sh. 4.5 M. Contact 0755827080 nipo DSM.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bei 11.5 mil ipo dar imetoka bandarin dar tar.1/8/14. 0714 045 080. KARIBU...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Laptop Accer mini inauzwa Processor ni 1,87 GHZ 1.87 GHZ Dual core Ram ni 2 Gb Storage ya Hard disk ni 150GB BEI NI 340000 ina wireless na Webcam pia inakaa sana na Wahi usije ukachelewa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ya mwaka 2004 imetembea kilomita elf64 bei milioni 12.5 maongezi yapo
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa kibada kigamboni kina ukubwa wa 498 sqm na chenye hati kabisa. Bei ni 15ml. kwa maelezo zaidi nipigie kwenye no hii 0719077350.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
One floor house with 3 bed rooms two bedroom are self contained with wide sitting room, dinning room and kitchen. Borehole, garden and two Barcon One facing mount meru. Located at ngaramtoni Emaoi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iwe katika hali nzuri na ina uwezo wa kubeba application zifuatazo.. Facebook twitter instagram whatsapp viber na kadhalika.. Bajeti tsh.80,000/= nipo mbeya. Tuma msg ktk 0657 445...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni HP 635 Ram 4gb,AMD 1.6ghz,2Cpu,HDD 320gb,pia ina webcam, Bluetooth, WiFi ,charge 4hrs bei ni 400,000/= nipo dar 0688 206680 Nb; picha imekuwa ngumu Ku upload ukitaka nakurushia via whatsapp
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Hapo nilikua safari ndio maana inaonekana imechafuka.first registratio ni 17/8/2010 make susuzi Model Grand vitara Model number j20A Body type Station wagon Colour green Class light paasenger...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
jogoo 15000 tetea 10000 mayai 15000 kwa trey conctact 0757268195
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Samsung galaxy s (at&t) Gb 15 inauzwa bado iko poa kabisa kama unataka pic unaweza kuniwhatsupp kwa 0764361843
0 Reactions
0 Replies
782 Views
PRICE NI MIL 5.5 T sh. NEGOTIABLE. GARI
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu habari zenu?? Naomba kwa mwenye kujua ni wapi nitaweza kupata hp destop used yenye ubora mzuri with reasonable price na ambayo haitakuja kunisumbua!! Mimi nipo Dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom