Wapo Dar nyuma ya interchick.
Kienyeji pure wamebaki 5 jogoo mmoja, tetea mmoja tayari anataga. Wako pia watano wa miezi 5.
Chotara wamebaki jogoo 3 na matetea 10 wote wana miezi 7 ndo...
Nyumba inauzwa Kinondoni A
Mtaa: Sekenke Karibu kabisa na Salon ya BM pia karibu na Stand ya Daladala (ziendazo posta na Station) Manyanya.
Ukubwa: wa eneo ni 322sqm
Ina hati.
Unaweza kuweka...
Naiuza Hp Laptop sababu nimenunua Vaio, bei chee na inafanya kazi vizuri, betri yake inakaa masaa mawili kutokana na matumizi, specs ni kama ifwatavyo;
HP Compaq 8510P
Bei: TZS 390,000
Intel...
Habari wana jf
Kwa wale wote wanaosumbuliwa na matatizo yafuatayo yanawezwa kusuluhishwa sasa mkombozi kapatikana
1.tatizo la unene wa mwili na unahitaji kupungua clean 9 mkombozi kwa njia salama...
Ina 5 grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja, na vitamini mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu. L-Arginine ni amnino acid muhimu sana kwa afya kiujumla. Mili yetu inaibadilisha...
Salamu kwa wana jf wote,wakuu kwa wale ambao mpo Dodoma mjini naomba msaada wenu wa kupata fremu ambayo itapatikana maeneo mazuri yenye mzunguko wa watu,malengo yangu ni kufungua duka la kawaida...
TECNO R7, BRAND NEW, GENUINE with ALL DOCUMENTS FOR SALE CHEAP PRICE
NIMEINUNUA TAREHE 26 /07/14 M.M.MEGJI LTD NEAR ROUND ABOUT SAMORA EVANUE KWA SHS 530,000= na ni...
Anahitajika mtaalam wa ving'amuzi nahitaj ni king'amuzi gani kwe bei rahisi naweza kuona ligi ya Uingereza British premier league.. kama kuna any mtaalam "fundi" wa kuchakachua call me 0767347080
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.