Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu bado natafuta kiwanja maeneo ya Goba. Mwenye nacho anipm tafadhali. Budget yangu ni 3.5M Asante
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, heshima kwenu. Ninahitaji marine boards na mbao kwa ajili ya ujenzi slab. Iwapo unauza au unamfahamu mtu anayeuza materials hizo zilizotumika tafadhali nijulishe kupitia kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wadau. Nauza chumba kimoja chenye full tiles na choo ndani. Kodi ni 100000 kwa mwezi nmekilipia miezi mitatu hivyo nirudishie 200000/- ya miezi miwili, wa nane na tisa. Ukilinilipa wiki hii...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf Nina idea kubwa sana ya kuleta change Nataka ninaanze kuuza gadgets kama smartphones,laptops na game consoles na game discs kwa mtaji wa 10 millions wapi naweza pata hizo...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
-Romeo & Julieth ndio brand ya hizi Cigar ambayo ilianzishwa miaka 130 iliopita yani 1875 huko Dominican Republic, kabla ya makao makuu yake kuhamishiwa nchini CUBA -Ni sigara ambayo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
We assist students from Tanzania and other African countries with FREE university admissions in the best affordable and accredited UK universities. No application fee will be charged. Contact us...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Price 7.5 Car-Automatic Engine VVTI-1299 Manf. Year 1999 Mahali ilipo Arusha Ina miezi 6 tangu imeingia TZ na imesafiri safari moja tu ya kuitoa Dar kwenda Arusha Mawsiliano ni PM au piga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua taratibu za kufungua account ya kikundi mkombozi bank au bank yeyote yenye masharti nafuu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Security alarm,seat cover, music(radio tv),spots rim,tire cover fiber,parking sensor,roof reck and many more contact 0682 255 948
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu natafuta tyre za gari size 14 gari aina za saloon cars especially toyota camry, naomba kujua bei zikiwa mpya kwa zile za japani na china. nb. nipo mwanza
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Rav4 kili forsale 19,000,000 tuwasiliane kwa 0717022737 Maelezo yote yako kwa picha
0 Reactions
15 Replies
37K Views
Desktop Dell (full set) used inauzwa pentium 4, 512 ram, hard disk 40GB, processor 2.8GHZ, mlango wa DVD. Bei ni 160k. unaweza nicheki kupitia 0752490238. picha nitaweka.
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Nauza nyumba ipo Area D ina vyumba vitatu vya kulala sebule jiko choo bagu na stoo ina nafasi mbele na nyumba unaweza kuongeza chochote mwenye kuhitaji ani Pm.
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Nauliza duka gani mjini hapa dar linaongoza kwa kuuza laptops orijino na imara kuanzia speed na kudumu na zenye nguvu. Sihitaji zilizotumika.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naitaji ufuta wa kutosha tu gunia nyingi .nanunua kwa kilo 2700 ,kama unao nipm tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Ninauza Toyota Vitz Ina Sifa Zifuatazo.. 1.Make...Toyota 2.Colour...Golden 3.Year of Manufacture..2003 4.Seating Capacity..5 5.Engine Capacity..1297 PRICE..TSH 6MIL.... Gari iko Maeneo ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
laptops TOSHIBA pentium processor 2.1ghz (4CPUs) Ram 4gb hdd 500gb & Toshiba core !3 processor 2.4 ghz (4CPUs) ram 4gb hdd 500gb mzigo ni mpya kabisaa. mawasiliano 0757554696.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
laptops TOSHIBA pentium processor 2.1ghz (4CPUs) Ram 4gb hdd 500gb bei laki 450, 000 badala ya laki 550,000 & Toshiba core !3 processor 2.4 ghz (4CPUs) ram 4gb hdd 500gb bei laki 550,000 badala...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huawei ascending Y300 used zinauzwa zipo mbili zimetumika miezi miwili tu nauza kila moja sh 170000..(maelewamo yapo) CHARGE+COVER Pm au contact: 0718776676
0 Reactions
5 Replies
826 Views
wakuu habari.... tuna tractor mpya kwa bei poa sana hasa massay fergurson za aina zote mfano mf 385 4wd hp 85.... kwa maelezo na maelekezo tulipo tutafute 0713774746
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom