nahitaji kufungua biashara lakini mtaji nilionao ni laki nne tu sasa cjui nifungue biashara gani ndo itaaford mtaji nilionao wenye uzoefu anisaidie mawazo.
Plot at Prime area umeme hakuna haja ya nguzo,maji Dawasco ni kuunganisha tu. Eneo limepiwa na ramani ipo hati inatoka J3 ijayo. Eneo lipo Tegeta Kibaoni,Madale Kisauke. Call 0754 637357
kwa mtu au taasisi yeyote inayohitaji kupata elimu elimu juu ya maswala ya Research methodology, Environmental Management, Natural Resources Management and Climate change Impact and livelihood...
nina maharage ya uyole 96 (hybrid), ni yale maharage mekundu. pia tuna mahindi zaidi ya tani 5000. mwenyewe soko la haya mazao naomba anijuze. shukrani wakuu
Habari wakuu.nauza unga wa sembe wa jumla kwa bei nzuri.ni super sembe.naleta popote ulipo.nauz kwa bei ya KILO 5 NAUZA 4000,KILO 10 NAUZA ELFU 8500.KILO 25 NAUZA 18000.NA KILO 50 NaUZA ELFU...
Habazi zenu?
Nauza tablet Inch 7 aina ya PIPO, zote ni mpya kabisa zipo kwenye box lake na ina vifaa vyote kama headphone,charger na USB cable.Unapata na leather case.
Tablet zimeletwa toka USA...
Nilikuwa nahitaji rates zako kwa ajili ya wanafunzi toka Mbagala huku mpaka Saadan national park. Ni wanafunzi sekondari wataonea kwenye Costa. Ni kwenda na kurudi bila kulala.
We are budget...
Habari njema.
Nauza ps2 zipo kwenye good condition pamoja na pad moja original bei 120,000 nauza kwa bei ya jumla zipo nyingi tu.
Kwa mawasiliano zaidi 0716 163696
Imetumika kwa miezi mitatu mpaka sasa, haina tatizo lolote, 8GB Internal Storage+1GB RAM, Quad Core Application Processor, GSM 3G, HSDPA/HSUPA na features kibao za ukweli. bei ni Tsh. 350,000.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.