Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari Wandugu, 1. Toyota Mark II, 2001, Automatic, 203,430km, sports rims, leather seats,in great condition price = 8,500,000/ 2. Pajero Mini, 2000, 4 wheel drive, in great condition...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nauza simu aina ya samsung galaxy s2 mpya, bei 200k, ukitaka kujua specs zake angalia hapa Samsung I9100 Galaxy S II - Full phone specifications Kwa mawasiliano zaidi nicheki 0752490238
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Habari zenu wadau? Ninaomba kwa anayejua njia ipi ni gharama nafuu kusafirisha kifurushi kidogo chini ya kilo moja toka Hongkong mpaka Arusha Tanzania. Manna rafiki yangu aliyopo huko amecheck...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji flat screen ya bei Poa. Niko Nyamagana Mwanza. Kwa yeyote mwenye kuuza tafadhali nijulishe hapa JF.
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Dell latitude D620 Intel core 2 duo 2.4ghz 80gb hdd 2gb ram memory DvD combo drive wifi Bluetooth 14'1 wide screen 2hrs batry bei 250,000/= nipo Dsm nichek 0716-844978
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Kipo Madale-Kisauke, aidha kipo barabarani na kinafaa kujengwa makazi kwani kimepimwa na pia miundo mbinu ya maji na umeme ipo. Kwa umeme haihitaji kununua nguzo pia kwa maji ni kuunganisha tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dell Inspiron n4010 lakini inatumika na laptop za R14 series kama 1465, 1565, 1764. Naomba kujulishwa ninapoweza kuipata.
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Bosi mwenye kumiliki hiace tuongee biashara ya daladala hesabu yake kwa siku shs 50,000/= hata kama haijasajiliwa mfano kule kule gongolamboto to chanika trips kama yupo serious anipigie 0714064767
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mwenye simu hiyo tajwa hapo juu tufanye mabadilishano au biznes
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji smartphone yenye sifa zifuatazo- iwe ni Android,,Flash,Touch screen. Budget yangu ni 150000 Kama unayo ni pm tufanye biashara,Nipo Dsm...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jaman hivi bei ya hivi vigari ni bei gan wakuu?Nahitaji kununua
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wkuu mwenye iyo sim.. Iwe nyeupe tafadhal. Mwenye nayo anichek 0767879784
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Eneo lina ukubwa wa acre 1, lipo poa sana.. Lipo 3 km kutoka morogoro road, lipo karbu n huduma zote za kijamii kama shule, hospitali, maji na barabara pia.... Lipo pia katika location nzuri ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sasa zimebakia chache New Sony Ericsson XPERIA arc S -1GB- Glossy black (Unlocked) Smartphone (LT18i) (BLACK ONLY LEFT IN STOCK) android 2.3 upgradable to 4..... BEI YAKE NI 400,000tsh NAUZA KWA...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau, natafuta mjasiriamali yeyote nimpe kazi ya kunisaidia kudesign business cards, invoice na headed paper ya kampuni yangu pia anifanyie printing ya vitu hivyo.,kama unaweza hiyo kazi niPM...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
PS 1 na PS 2 zinauzwaaaaa kwa Pamoja....Bei Laki 3.5...zote zina Pad Mbili Mbili....No Memory Card... 0654-938976.......!!!.
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Wkuu mwenye iyo sim.. Iwe nyeupe tafadhal. Mwenye nayo anichek 0767879784
0 Reactions
0 Replies
586 Views
MAHALI:Salasala-kilimahewa(mt.500 toka mwisho wa lami) UKUBWA:30*40 (hakijapimwa) BEI :Tsh 28M(maelewano yapo) Mwenye kuhitaji anaweza kuwasiliana na mm-0712 753 990 au unaweza kuni pm kwa maelezo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kujua bei ya hiyo kitu wakuu kwa hapa Dar.
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Ipo dar kigamboni eneo la kibada mtaa wa kiembe poa,ni jirani na barabarani Kuna mpaka maxmalipo na mashine ya tra .pembeni kuna kibanda cha tigo na mpesa nacho kinauzwa pamoja na line zake kwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom