hallow guys, hope you are doing gud. i need to advertise commercial announcement,which mass media might be the best to advertise and at least is cheap compared to others?
Wakuu, tunatafuta nyumba ya kupanga kwa ajili ya ofisi. Iwe angalau na vyumba vinne na kuendelea, iwe pembezoni mwa barabara kuu au karibu na barabara kuu, iwe nzuri na iwe na Parking. Inaweza...
Nahitaji Frem kwa ajili ya biashara hapa Dar es Salaam. Iwe kati ya maeneo ya Mbezi - Tangi Mbovu mpaka Africana. Mwenye nayo tafadhali afunguke tufanye biashara. Asante!
Wadau naomba msaada wenu.Nahitaji used Crankshaft ya Engine 5VZ.
Nimezunguka sana bila mafanikio.
Nitashukuru kwa ushauri wenu na msaada wenu utakaoniwezesha kuipata.
Asanteni sana.
Habari wanajamvi nina ps 3 ina matatizo ya kuzimika kila baada ya dk 10-20 sometimes inafika mpk 30 kwa hiyo nauza kama scraper,vitu ambavyo mtu anaweza akafaidika navyo ni waya wa...
Ndugu wanabodi,kwa anayeweza kutafsiri kwa ufasaha kitabu kutoka kiingereza kwenda kiswahili ani pm ni kitabu kinachoelezea product za food supplement kina kurasa 40.
JE WEWE NI MJASILIAMALI AU MFANYABIASHARA?
Sasa unaweza kupata mikopo kwa riba nafuu kama una biashara iliyosajiliwa yenye Leseni na TIN number.
Mikopo inatolewa Kuanzia 1,500,000 mpaka milion...
Ukitazama biashara nyingi za kati au ndogo zina kitu kimoja zinafanana, nyingi hazina tovuti au website zinazotoa maelezo ya kutosha juu ya huduma, bidhaa au eneo zinakofanya kazi. Iwe ni hapa...
Sim tajwa hapo juu inauzwa inafanya kazi vizuri ila camera ime corrupt
Ni touch na buttons na zote zinafanya kazi.
Ina support whatsapp,viber,skype,instagram etc
Price 90.000/=
Contact 0713488387...
Habari za mida hii wana jamvi,
Natafuta kuku
1. Chotara
2. Kienyeji (kuchi)
Kama unafuga au unajua sehemu wanapatikana kwa hapa DSM plz nijulishe, nawahitaji sana
Natafuta fremu mbili tofauti, moja yenye ukubwa wa kawaida iwe kinondoni au mwananyamala kodi isizidi elfu 80 kwa mwezi, na ya pili iwe kubwa sana ya kuweza kuweka mini supermarket maeneo ya gongo...
Salaam wanajamvi,
naomba ushauri wenu wa kitaalam katika hili suala, niko kwenye mchakato wa kuanzisha Magazine (ya mambo ya afya), nimeandaa mada tofauti tofauti tayari, sasa way forward ili...
Hi
I would like to open my offer for charity organisations only,I have set a maximum number to help that I will keep to myself. If that number of organisations is reached I will not help any more...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.