Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza simu ya galaxy s5, ni original. Imekuwa imported, iko kwenye hali nzuri sana. Inakuja na charger. Kama uko interested, reach me at 0717301520
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza line 6 za Tigopesa kwa sh. 400,000 kila moja. Anaehitaji karibu PM
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Simu tajwa hapo juu iko sokoni,mwenye kuitaka awasiliane nami kwa no 0713228915 niko dar bei ni 340,000 simu hajawahi tumiwa!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie nauza simu yangu maana nina matatizo sana ya ada ya shule.Simu naiuza kwa pesa za kitanzania shilingi 120,000/= . Lakini pia inapungua. Kwa mawasiliano zaidi 0654944654
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu tajwa unahitajika,budget yangu ni 130,000,niko dar no yangu ni 0713228915 au 0784228915 Sent from my iPhone using JamiiForums app
1 Reactions
1 Replies
856 Views
Simu iko vzur, Imetumika kwa miezi mitatu tu. Inapiga kazi kama mpya tu. Bei yake ni Tsh300,000/=
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Original samsung galaxy tab 10.1 16gb internal memory comes with charger ,usb cable ,leather case and wireless keyabord price 500000tsh only contacts 0713388226
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Simu tajwa hapo juu mpya inahitajika, mwenye nayo ajitokeze.
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Kiwanja chenye fence kinauzwa kipo kibada barabara kuu ya lami iendayo kongowe. Ni kizuri kwa kujenga hoteli, apartments au biashara nyingine yoyote pia kuna sehemu ya kuweka frame za biashara. Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza pre owned tablet model hiyo hao,niliinunua Nedherland. Ina android version 4.0.4,memory 16GB. Bei Ths.450K na maongezi ruksa!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
we conduct review classes for more information see attachment
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Nauza simu tajwa hapo juu for 170, 000/= negotiable nipo dar pm tufanye biashara if your interested.
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Jipatie T-SHIRT na MASHATI pouwa yaliotengenezwa kwa nakshi Za Vitenge aina YA MACKENZIE original. PRICE (REJA REJA) ** T-SHIRT - 20,000 kwa Kila moja **MASHATI - 25,000 Kwakila moja PRICE...
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Soft ice cream machine for sale, MeiQile brand, ex- china. New..!!! Price; Tshs 3.3M. Capacity: 22ltr/hr. Voltage: 220v. Power: 1.85kw. Dimensions: 540*520*850cm. Weight: 110kg...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama unahitaji kukarabati sofa zako zilizochakaa au unahitaji sofa mpya, na kwa bei nafuu sana ,isiyozidi 1M kwa set ya viti 5 mpaka 7&9 kwa design unayotaka wewe,na inaanzia 280,000/- kwa sofa...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Nyumba inapangishwa ipo kiseke nyumba za PPF mwanza, 1 master bed room, 2 rooms, public toilet, sebule, kitchen, water, power mda wote, ample space-kwaajili ya parking, watoto kucheza, garden etc...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajf,kichwa cha habari kinahusika!Nauza line ya tigo pesa kwa tsh 700,000/(laki 7) tu.Na fax machine kwa laki 9 tu,aina ni samsung.Waweza kutumia kwa kutuma fax na photocopy machine.NIPO...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunawakaribisha wadau wa dhahabu tumeleta mzigo tani 18. Bei ni tshs 16mil kwa tani moja. 0767386011 au 0715386011. Karibuni
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauza Techno Phanom A+ only for 300,000 imetumika kwa wiki 2 tu,unapata kila kitu anzia power bank,headphone na mazagazaga yote yanayokuja na simu,pia na box lake lipo Kama uko interested...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wadau Naitaji Screen protector ya kuweka kwenye simu yangu aina ya voda google pamoja na Power bank za bei nafuu nitazipataje? na je ni bei gani wadau?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom