Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
nNauza Samsung Slimfit (chogo)TV TZS 300,000.00 tu ,mawasiliano 0655 585 490 nipo Dar Es Salaam.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
kama kinavyoonekana kwenye picha kutoka nguzo mpaka barabara gari lilipo, kimepimwa na kipo hatua za mwisho kupata hati kina eneo la ukubwa wa 744m kipo eneo la Ulongoni Gongo la mboto bei ni...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Tunasupply projector zenye ubora wa juu kwa jumla kutoka China! Bei zetu zina anzia dollar 100 mpaka 500, bei zetu zinategemea na aina ya projector pamoja na specifications unazotaka.Pia unaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu! Juz juz nilikata ya FastJet toka Dar kwenda Kili na Kurudi ya kusafiri siku ya kesho asubuhi tarehe 03.07.2014 ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimecancel safari hiyo na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Sokoni Leo ni App iliyotengenezwa kwa ajili ya simu za Android, maalum kwa kutoa taarifa muhimu kuhusu mazao yanayopatikana sokoni. Utaweza kujua bei ya mazao mbalimbali yaliyopo sokoni rejareja...
1 Reactions
0 Replies
10K Views
Tafadhari ndg zangu, kwa yeyote mwenye line ya m-pesa aniuzie kwani nataka nianze ujasiriamali mdg. Nashukuru, kama unayo niPM!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunasupply projector zenye ubora wa juu kwa jumla kutoka China! Bei zetu zina anzia dollar 100 mpaka 500, bei zetu zinategemea na aina ya projector pamoja na specifications unazotaka.Pia unaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba ipo maeneo ya sinza darajani kwa mwaibula,ina vyumba viwili,sitting room,jiko na choo ndani na stoo. Bei ni maelewano. Kwa mawasiliano zaidi piga simu ya mwenyewe ama mmiliki 0758126342
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za majukumu wana jf, Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 25X25, kipo maeneo ya Mbezi Msumi. Kiwanja kina jengo la vyumba viwili na nipo katika mchakato wa kupata hati. Bei maelewano, pm kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
inahitajika hiyo cm iwe full boxed kwa bei tajwa hapo juu
0 Reactions
16 Replies
2K Views
NI MPYA IPO FULL BOX ,UNAPATA NA COVER YAKE ,BEI NI 390,000Tsh ONLY. nipo DAR
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Habar zenu wadau, Natafuta chumba na sebule au vyumba viwili vya kupanga, iwe maeneo mazuri na kuwe na ustaarabu msaada wenu wadau,waweza nipm ntakutafuta
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni...jamani nina gari aina ya Toyota fun cargo iko in good condition nahitaji ku exchange na Niko ready Ku top up, budget my funcargo +2-3m
0 Reactions
2 Replies
927 Views
Ni galaxy tab 1 ya 7". Ina RAM ya 512, na processor ya 1 GHz. battery life ni kama masaa masita mpaka tisa kulingana na utumiaji wa mtu. inatumia sim card. inakwenda kwa laki mbili na nusu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji chumba cha kupanga katika maeneo hayo,kiwe katika hali nzuri.UMEME + MAJI viwepo,kisiwe mbali sana na barabara kuu n' kikiwa self itakuwa nzuri zaidi ! NB: Nipm kama unacho
0 Reactions
0 Replies
2K Views
za kaki....kwa anayeweza kunisaidia kuzipata....nipo dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji mobile fm transmitter, ni kifaa kidogo ambacho hutumika kubroadcast audio kutoka kwa simu kwenda kwa fm radio ya karibu, Nimejaribu Ebay na Amazon but sina Postal Code so imekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau vip? Kuna mtu mwenye kiwanja 30x40 budget not greater than 5m. maeneo yasiwe mbali sana na mji. Nawasilisha.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa anaehitaji mikanda ya video (VHS) iko zaidi ya 100, naiuza bei ni 2400 @ 1 pungufu unaongea, Napatikana Mbeya City, phone namba 0754242620. USIBEEP TAFADHARI.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nauza bajaji tvs king iko katika hali nzuri sana.....nauza 4 million shillings (million 4) ila bargaining ipo. napatikana dar es salaam 0713 806 766.
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Back
Top Bottom