Kiwanja chenye ukubwa wa 1800 sq.meter na chenye msingi wa nyumba ya kisasa kinauzwa maeneo ya Goba.kwa aliyetayari tuwasiliane kwa PM tuweze kuongea kuhusu bei na kuweza kumtumia picha za eneo na...
Habar wadau,
Ninatafuta nyumba ya kupanga kateshi mkoan manyara, vyumba viwil na sebule, kuwepo na huduma ya umeme na maji na security ya kutosha! Kama upo tayar kwa hlo naomba unipm...
Kiwanja chenye Ukubwa wa Mita za Mraba 600 eneo la Njiro Arusha kinauzwa Bei 120m but negotiable. Aidha kiwanja chenye kubwa wa mita za mraba 1605 eneo la Lilungu Mtwara kinauzwa bei 80mbut...
Wadau salaam...Kama kuna mtu anaweza kunisupply mashudu ya pamba na alizeti,Pumba za mahindi na mpunga,Mifupa iliyosagwa,Damu iliyokausha na dagaa wazima pls tuwasiliane kwa maelewano zaidi.NI PM...
Tunatafuta watu au ma agency wanaoweza kutuletea matangazo gazeti na website
upande wa Agency
kampuni itamlipa commision ya asilimia 25 kwa kila tangazo atalotuletea
wafanyakazi...
Habar wakuu?
Nakijipango kangu nawekaga wanachuo kuishi, sasa m1 amenitoloka baada ya kumaliza chuo (exams) na kuacha vitu jumla kabisa.
So nauza sofa kali ya wembe na kabati kali pia milango...
habari wakuu nina laptop yangu aina yaSiemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk160,cD room iko poa sana ila kuhusu betri linakaa na chaji dk 30 hadi na tano! Je,nikikupa hii machine ww utanipa...
HP ELITEBOOK 2570P
Intel Core i5 2.6GHZ > HD GRAPHICS KWA WACHEZA GEMU
8GB RAM
500GB HDD
WIRELESS AND BLUETOOTH VIPO
BATTERY 3HRS AND 45MINUTES MAX PERFROMANCE
INAFAA KWA MATUMIZI YOTE NA NI...
yumba ipo kinyerezi dakika tano kutoka Mbuyuni ina sebule kubwa, na nafasi ya home office, dining room ya kutosha jiko,Store, Choo cha public, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Master bed room...
nyumba ipo kinyerezi dakika tano kutoka Mbuyuni ina sebule kubwa, na nafasi ya home office, dining room ya kutosha jiko,Store, Choo cha public, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Master bed room...
Habari zenu wanajamvi?
Naomba kuuliza:
(1)Tani moja ya mahindi inatoa kilo ngapi za unga wa sembe? Yaani unga kilo ngapi na pumba kilo ngapi? Au kwa lugha nyingine kilo moja ya mahindi inatoa unga...
Nauza plot,iko surveyed na ina hati miliki,ni low density plot size yake sqrmeter 2480,IKO maeneo ya tabata! kwa anaehitaji ani inbox au mawasiliano number 0782261294 --bei 29m,maongezi yapo.
Kiwanja ukubwa wa ekari moja kinauzwa
kipo karibu na hotel ya reca court na shule ya kimataifa ya atlas madale mivumoni
kiwanja kinafika kwa gari
kipo karibu na barabara ya mivumoni nearl to reca...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.