MWALIMU GROUP LIMITED
TUNATOA OFA KWA WATEJA WETU WOTE.
[emoji389]OFA YA SIKUKUU [emoji318][emoji268]
Ungana nasi katika sherehe za sikukuu kwa kuwa mmoja wa mwanafamilia wa BRAHMA.
Sasa unaweza...
Wadau salam,
Kwa ndugu zangu walimu, ninayo furaha kuwajulisha kuwa kuna softcopy ya schemes of work za masomo yote ya sekondari Kidato cha I hadi IV ambazo zimeandaliwa kwa kufata malekezo ya...
Darasa la buree wafanya biashara wenzangu.
Utaratibu na vitu vinavyo hitajika.
1. Inatakiwa kuwa na tin namba na leseni ya biashara kutoka tra.
2.Inatakiwa uwe na leseni ndogo ya kusafirisha...
Ndinga kali kwa ajili ya mtoto wako ipo sokoni,changamkia fursa mtoto afurahie likizo yake
Gari ina sifa zifuatazo
Gari ni ya kuchaji(12v battery)
Inawashwa na funguo
Mtoto anapanda na...
Land Rover Defender Puma 2.4
Year: 2008
Diesel
Price: 34000000
For more information please inbox me , I will get in touch with you as soon as possible.
Habarini ndugu wa jukwaa hili la Tech, nimeleta mfumo wa usimamizi wa taasisi za kidini hususani makanisa.
Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mifumo rasmi ya...
Toyota Porte full file.
Model. : 2007
Insurance[emoji736]
Full AC
Inside very clean & convincing.
Engine : 1490 CC
All tires in goodcondition
Price 8.7M
Unaweza Save Namba Yetu Ya WhatsApp...
Haya madstv yamezagaa kila mahali hapa bongo vimekua vingi kama utitiri
Vinauzwa bei sawa na fungu la nyanya tu
Zamani ukiwa na dstv uliogopwa balaa sikuhizi kila mahali vipo
Dstv ni kama...
Kwa anayehitaji gari aina ya TOYOTA CHASER GX 100, there it is. TSHS. MIL. 4 TU (TSHS. 4,000,000/=)
Kila kitu cha kwenye gari kinafanya kazi ipasavyo.
MAWASILIANO: 0747007131
MAWASILIANO...
Hii ni offer kubwa kwa sababu nina uhitaji wa haraka wa pesa. Heat press machine iko full na vifaa vyake vya kuprint caps,mugs,plates (5in1) vipya. Na Epson L3110 imetumika kidogo sana ni kama...
Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi.
Kutokana na changamoto...
Juzi Ijumaa, tarehe 16 Septemba 2022 nikiwa natoka kazini nilipark gari Bunju B hii sehemu ambapo gari za Bagamoyo zinazotoka Tegeta usimama na kupakia abiria.
Nilipaki gari na kushuka kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.