Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ipo Kibaha picha ya ndege Master bedroom 1 Vyumba vya kulala vi4 Jiko na store Public toilet Parking Kiwanja ni 515square metres Mashimo mawili ya choo Kina HATI Bei ni 23mil maongezi yapo Kwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za mda huu wakuu, kama kichwa cha uzi kinavyojielezea hapo ninanunua mayai ya kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla. Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Ndugu wana JF habari ya majukumu? Napenda kutoa taarifa juu ya kusudio la kuuza kiwanja namba 10 D-centre Mwangaza lililopo Dodoma mara tu baada ya kukamilisha upatikanaji wa Hati ya eneo hilo...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayeuza au mwenye jamaa yake anauza aina hiyo ya pikipiki tuwasiliane, bajeti yangu ni million 1.5.
1 Reactions
2 Replies
937 Views
Kitalu ED Matumizi ya kiwanja: MAKAZI NA BIASHARA Ukubwa: SQM 2,400 Bei: 25,000,000 Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa HOUSING ESTATE Kiwanja kipo mita 400 kutokea barabara kubwa ya kuelekea Dar es...
0 Reactions
3 Replies
598 Views
Wanajamvi nahitaji pikipiki aina ya CG kibao cha mbuzi Huoniao offer laki 6 0716423838
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, natafuta kiwanja cha kujenga nyumba, maeneo ya Arusha isipokuwa nje ya mji kidogo, eneo la wastani tu kama 20x25… bajeti ni milioni tatu 3,000,000/-. Kiwanja...
0 Reactions
3 Replies
477 Views
Wakuu nahitaji kile kifaa kidogo kinachotumia umeme kwa ajili ya kuulia mbu, kile unaweka dawa yako unachomeka kwa umeme kinaendelea na kazi. Naomba mwenye kujua wapi nakipata nikanunue kesho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Eneo: Kongowe Misugusugu-kibaha size: 30*20 600square metre Maji umeme vipo Nusu kilomita kutoka lami ya Morogoro Road Hati ya maandikishano ipo Bei milioni 4. 0744033555...
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Tuition nyumbani Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada. Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Tunafua nguo za aina zote, Tupo Chanika Mwisho, Dar es Salaam. Karibu sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mwenye Charger ya MacBook hiyo hapo aniuzie kwa bei ya kirafiki ikiwa used poa pia maana charger yangu imeharibika Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Simple 4 bedroom house . 1 Master bedroom .1 Self room .2 bedrooms . Sitting room . Kitchen . Dinning .Store . Public toilet. Karibu
2 Reactions
1 Replies
438 Views
Hi apartment IPO kariakoo faya, Ipo floor ya 3 no lift. inavyumba viwili kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablc bei laki 5 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6. _ sevice charge elfu 30 kila mwisho wa...
0 Reactions
1 Replies
460 Views
Wazee habari zenu Wapi naweza nunua gari kwa mkopo? Nilipe milioni 4 halafu iliyobaki nalipa kila mwezi.
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za mchana wadau wa jukwaa hili. Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa). Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hiyo link ni Display na bei zake Hiyo bei ni pamoja na ufundi Share link Epateletech epate ==== SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kiwanja hicho kiko kishili fumagila, Mwanza (kiwanja cha pili kutoka usawa wa barabara kuu ya Kishili-fumagila-bujingwa-mpaka lami ya Usagara) Fumagila ipo kishili, unafika kwa Tsh elfu 2 tu kwa...
1 Reactions
5 Replies
856 Views
Habarini Wadau, Kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa SAKINA Arusha, kiwanja kimepimwa na hakina mgogoro wowote, ni cha familia iliyokubaliana kuuza. Kiwanja kinafaa kwa uwekezaji wowote wa...
0 Reactions
12 Replies
760 Views
Specialist in building construction have more experience in civil work, get look some of there projects . For your better home you may contact 0763269695.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom