Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Changamoto hii kwa kiwango kikubwa husababishwa na mambo yafuatayo kwenye Kompyuta yako. 1.Uwepo wa tatizo/msuguano wa “Hardware” kwenye Kompyuta. 2. Kompyuta kuwa na joto saana. 3. Kuharibika...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Karibuni nyanya, fresh from shamba Crate 45,000/- Ndoo ndogo 10,000/- Ndoo kubwa 17,000/- Tupo Dsm, Mbezi ya kimara Karibuni saaana. Msimu huu wa sikukuu. Kwa bei Che. 0752850081 0783985530...
4 Reactions
1 Replies
444 Views
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0752684160,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana Dodoma.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza escudo ya milango mitatu(shot chasis) Gari iko poa Sana Haina shida yoyote Tairi ni mpya kabisa hazina hata mwezi Vibali vyote vipo Ni automatic Gari ipo dar Kigamboni Bei ni Milioni 6 tu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
TV ya mtumba inchi 24 inauzwa. *Button zake za kuwashia/kuongeza/kupunguza sauti ni za kugusa. *HAINA REMOTE *HAITUMII FLASH *Bei: 150,000/- (maongezi yapo) *Location: Kiwalani, Dar es salaam...
1 Reactions
6 Replies
652 Views
Ni portable(14") lakini ni powerful. -RAM 12GB -HDD 500GB -Processor i5 5300u -64bit -Windows 10 pro(Activated) - haina tatizo lolote Bei 380,000 tu Location DAR mawasiliano: 0768985321 PM kwa...
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Habari zenu ndugu wapendwa, Samahani kwa usumbufu wenu, nilikua naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia kupata frem ndogo kwa ajili ya biashara ya uwakala. Naombeni msaada wenu, kama kuna mtu...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Tunatumia vitu vya asili kuhudumia nywele…salama kwa watoto na wakubwa.. na matokeo ni hakika Karibuni sana G&L natural products
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Karibuni watu wote mnunue simu orginal za nokia. Nokia original kabisa ndogo ndogo,zile za tochi,na aina model nyingine zinapatikana. Mzigo upo mwingi hata ukitaka PC 100 unapata.. UBORA WA HIZI...
6 Reactions
372 Replies
55K Views
* Kwa waendesha bodaboda au magari wakati wa usiku, kama umekuwa ukisumbuliwa na UKUNGU pamoja na TAA za full kutoka kwa madereva wengine mpaka inakupelekea kushindwa kuona mbele. * Jibu...
2 Reactions
174 Replies
63K Views
Wakuu Habari nauza hizi items zangu kwa dharula,nauhitaji mkubwa wa pesa kwa ajiri ya kugharamia matibabu. LAPTOP HP INTEL CORE i5 7th Gen Os. Windows 10pro (activated) Hdd 500GB Ram 8GB Display...
7 Reactions
167 Replies
11K Views
Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi...
5 Reactions
96 Replies
14K Views
Habari wakuu, Wapi nitapata chimbo la spea za pikipiki kwa bei ya jumla nahitaji kuuuza jumla la rejareja sasa wapi nitapata mzigo kwa bei ya jumla mwenye data kuhusu hii biashara msaada wakuu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama, 1. Mercedes Benz S class (2022) 2. Audi...
2 Reactions
11 Replies
944 Views
Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako. 1. Ukijaza gesi ya Tsh. 17,000 unaweza kusafiri kilomita zaidi ya 200. Tsh. 17000 = Km. 200 ? = Km. 1...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Igweee! Jamani ninajua humu kuna wataalamu kila nyanja. Ninakuja Dar kwa matibabu, nitakaa siku 5-10 nina familia ya watu 4. Ninahitaji sehemu inayoweza saidia kukaa na watu wangu kwa siku tajwa...
1 Reactions
4 Replies
427 Views
Kama umewahi au unamiliki kampuni basi maneno yafuatayo yatakuwepo katika msamiati wa maneno yako Share Capital, Authorized Share Capital, Paid up and issued shares. Maneno mengine ambayo utakuwa...
12 Reactions
28 Replies
4K Views
Hello wanajukwaa, Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!? Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Habarin Wana JF, Nahitaji iPhone X ya GB 64, battery health iwe kuanzia 90% na face id sio lazima. Offer yangu ni 290,000/=
0 Reactions
4 Replies
497 Views
Makava mapya na glas 5D NA ZA KAWAIDA 1. SAMSUNG A2CORE 2. SAMSUNG A10 3. Samsung A20 4. Infinix note5 5. Infinix hot6 6 .infinix hot7 7. Oppo 15proo 8. Oppo f7 9. Tecno pouver3 10. Tecno spak3...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Back
Top Bottom