Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa. Ukubwa ni Squaremeter 1200 Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya...
4 Reactions
66 Replies
7K Views
Gari yako kama taa zake zina ukungu tumia hiyo dawa, Au michubuko midogo midogo ondoa kwahiyo huipati dukani kokote tanzania zimetoka dubai Kabla hujalipia nakusafishia taa au michubuko, taa...
1 Reactions
16 Replies
865 Views
kwema wadau? Samahani nilikuwa naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla jumla ni sh ngap hapo ulipo, hasa kwa mkoa wa songwe kuwa ni shilingi ngapi?
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Naomba kujua bei ya ndizi mzuzu mikoani na je, naweza pata mtu akaniuzia?
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nipo mbele yenu, nimeweza kutafuta vihela ili niweze kununua simu. Baada ya kuwaza sana nimeona simu inayo nifaa ni HUAWEI P20 PRO. Hivyyo mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla katika mkoa wa Songwe na Mtwara katika ujazo wa kilo, debe au gunia zikiwa tayari zimesha menywa
0 Reactions
0 Replies
663 Views
We provide the following services on monthly basis 1.VAT return 2.SDL, PAYE, NSSF AND WCF monthly filing 3.Recording transactions on monthly basis into accounting software: XERO and Quickbooks...
2 Reactions
1 Replies
298 Views
Tunatengeneza furniture za kituruki kama coffee table tv showcase. Kitchen cabinets tunafanya makabati ya chini sq mita 1 sh laki 500000 na makabati ya juuu sh laki 450000. Tunapatikana mbezi...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale ambao mnataka kununua magari kwa bei nafuu. Tunafahamu uchumi umebana kodi ziko juu sio kila mtu anaweza kuagiza gari toka Japan ila unafuu uko kwa kuuziana gari ambazo...
17 Reactions
128 Replies
12K Views
Habari wakuu. Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kitabu kinachohusiana na biashara pamoja na mafanikio. Kitabu hiki kimekubaliwa kuwa published on Amazon na publishers nyengine zinashirikiana...
1 Reactions
6 Replies
540 Views
Habari wa JF! Leo nitaongelea muendelezo wa biashara ya uandishi wa vitabu, makala nyingi nilielezea biashara ya ebook ambayo mwandishi hawezi kupata hasara kama wanayopata sasa kwa wale wanaouza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
1. KUKU WA KISASA WA MAYAI 2. KUKU WA NYAMA 3. KUKU WA KIENYEJI Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
I've wrote a business book and published it to Amazon Kindle. I've tried to write about financial success and business. My available in digital format and also paperback (physical book). You can...
0 Reactions
2 Replies
311 Views
Subaru forester inauzwa ipo Tabora mjini haina kipengele. Make: Subaru Model: 2008 Transimission: Automatic New tyres Full ac Leather seats Android music Bei mil 18mil. Piga no: 0623 265088
2 Reactions
4 Replies
701 Views
Toyota Rav 4 namba T.. DTT, iliyoingia nchini July mwaka juzi (2020), inauzwa kwa bei ya shilingi milioni 25, bei inapoa kidogo. Haijawahi kupata mzinga wowote wala tatizo lolote. Haijawahi hata...
2 Reactions
0 Replies
437 Views
Dagaa fresh kabisa toka Mwanza kwa mahitaji ya jumla la Reja reja unapana tupo mbezi goba (kwa ndambi) Sado 1 tsh 22,000 Sado 2 tsh 42,000 Ndoo kubwa 85,000 Tunasambaza pia kwenye supamarkets na...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Sold.
1 Reactions
1 Replies
589 Views
Toyota Crown inauzwa Crown 2004, Km 97,000 Pearl Cc 2590 14.5 m Kuiona piga no 0655859933 Ipo Dar
3 Reactions
19 Replies
2K Views
No politics here, straight to the business Nina Freezer yangu, ina miez miwili tangu itoke dukani. Naiuza sababu nafunga biashara (imeenda kombo) then narudi Dar. Freezer ipo katika hali nzuri...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Back
Top Bottom