Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji) aina ya tvs king (rangi nyekundu kama ilivyo pichani) inauzwa. Imetumika kwa mwaka 1, iko katika hali nzuri sana. Bei ni Tsh 3,200,000 mazungumzo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu salaam, nahitaji kupata mikanda ya saspenda kama anayopenda mzee masako mwanahabari mwandamizi wa itv, tafadhari mwenye kujua inakopatikana hapa Dar anijuze
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, mimi nawasaidia wale ambao wanataka kufanya shughuli za kilimo lakini wapo bize na kazi zao nipm tuwasiliane. Lakini pia muda huu ni mzuri kununua mazao kwa sababu mikoa mingi wanavuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello wanabodi, Ninaomba kufahamishwa sehemu ambayo ninaweza kupata shati za linen za ukweli hapa DSM. Nimejarinu kupita baadhi ya maduka ila mengi ninayokutana nayo ni size ndogo wkt mimi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa ni kwenye mradi wa viwanja vya serikali vilivyopimwa Bunju B, ukubwa ni sqm 956 pia jirani pana kipande amacho hakijapiwa kina ukubwa wa sqm 600,kiko kwenye umiliki wa mtu mmoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nauza simu aina ya Sony Xperia Z kwa shilingi 800,000. Pamoja na specifications zake nilizoziainisha hapo chini, simu hii ni waterproof na ina siku 3 tangu inunuliwe nje ya nchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama unaita rupia au vi2 vya zamani wasiliana nami vinapatikana haydom manyara/mpakani mwa singida na manyara
0 Reactions
1 Replies
1K Views
acha kununua clone, nunua orijino nicheki 0689315582 kwa sms
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Shamba linauzwa lipo maeneo ya kibungo pembezoni mwa barabara ya pemba mnazi upande wa bahari,lina ukubwa wa ekari 54,linafika mpaka baharin...bei ni 60 milions,p linafaa kujengwa hotels kubwa za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu aina ya sumsung S duos inauzwa tsh 330000,mpya haijafunguliwa .mawasiliano 0763216591
0 Reactions
0 Replies
728 Views
bei yake ni 3.4mln gari ni nzima one kick start... ukisema uende nayo moshi ni moshi mbeya ni mbeya...karibu wana jf....natanguliza salam
1 Reactions
2 Replies
2K Views
GARI INAUZWA KAMA ILIVYO - Inatembea, good working condition - Bei ni TSHS 23,000,000 au USD 15,000 (Maelewano yapo) - Dalali hatakiwi, mwenye gari anaongea mojakwamoja na mnunuzi - Kwa...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Habari za kazi Binti wa kitanzania anatafuta chumba kwa ajiloi ya kupanga nyumba maeneo ya SINZA, KIJITONYAMA, SHEKILANGO na UBUNGO. Bei kwa mwezi kuazia 50,000/= hadi 80,000 kwa mwezi kulingana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Premio ya mwaka 1998 iko sokoni. imetembea km 115300. Plate number inaanza na BX***. rangi white. Inapatikana Dar es salaam. bei mil 7. ila mazungumzo yapp kwa mnunuaji makini. mawasiliano 0755815174
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Samsung Galaxy 7.1 Tablet with Internal memory of 16 GB and 1Gb RAM is available for sale at reasonable price of 450,000/= only. It has got no defects at all. Contact: 0787459850
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ipo katika hali nzuri kabisa. Ni karibu mpya kabisa maana nimeinunua mwezi wa nne tu, mwaka huu. Pia niliiwekea HD invisible shield hivyo hakuna hofu ya kwamba kioo kitakwaruzika. Mwenye maswali...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
dell latitude e 6430, hdd 750gb, ram 8gb, core i7,spedy 3ghz, HD TrueVisionwebcam, internal modem, light on keybord ,mpyaa, bei 950 call 0719373606
0 Reactions
0 Replies
666 Views
habari wakuu Nauza laptop yangu aina ya Siemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk 160,cD room tatizo lake ni battery tu 7bu linakaa dk 40 xo kama uko interested nicheki kwa number hzo 0713943432...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
dell d620 iko vyema... hdd 120 gb. ram 2 gb.. pprocessor 2.1 mghz duor... 299,000
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta RAV4 SHORT CHASES. Iwe kwenye hali nzuri 1999-, serious saller naomba details na bei plz
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom