Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji Kiwanja Jijini Mbeya kiwe sehemu inayofikika kwa mwenye nacho au mwenyekujua nipe mawasiliano
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Habari zenu wanajamvi? Nauza viwanja vyangu viwili. Ukubwa kila kiwanja: 35mx35m Mahali vilipo: Visiga - Kibaha Umbali toka Morogoro road: 2km (upande wa kushoto kama unaelekea Moro) Bei ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza tecno p3 ina wiki kama 3 hivi anayeitaka piga cm namba 0716171698 au0762480799
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ambaye anayo tuwasiliane kupitia 0716 282670 nipo ubungo,dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mwenye nokia asha 206 kama atakuwa interested tubadilishane kwa nokia asha 301.. Any one interested contact 0713488387 Dar
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Kwa anaeyehitaji ani pm nipo dar
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Kiwanja kipo Moro Kihonda kwa chambo. Ukubwa 600sqm huduma za umeme na maji zipo. Umbali toka barabara kuu Moro- dom km 2. Bei 7m mazungumzo yapo kwa anayehitaji. Cont. 0715500248, 0756171831.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa, nipo kijijini ambako umeme bado japo kwa speed waliyonayo tunataraji ndani ya mwaka utafika naomba kujua laptop inayokaa na charge kwa saa Saba na kuendelea na screen size iwe kuanzia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inatafutwa gari pikap singo kibin hilux iliyo ktk hali nzuri
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kikubwa kiko kilometer 12 kutoka Mwanza airport na kipo ufukweni wa ziwa Victoria, kinauzwa kwa bei Milioni 450 maelewano yapo , kina ukubwa wa square meters 30,000 ( acre 8) unaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi nauza projector inayoitwa Aiptec ni projector yenye redio,deki ya cd na sehemu ya frash ni projector nzur by the way kwa yeyote anae itaji tuwasiliane kwa namba 0788562816 na kwa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni body spray gani ya wanawake yenye harufu nzuri yakuvutia na iliyotulia??
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Wanabodi nina nyumba yangu moja naiuza. Kwa kuwa ramani yake ni ghorofa moja,mimi nimeijenga mpaka kwenye slub (nimemwaga zege la juu) hivyo bado kumalizia ghorofa ya juu. Kibanda cha mlinzi cha...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa kwa 170,000/= ina rangi nyeupe ina miezi mitatu toka inunuliwe pia ipo katika hali nzuri. kama uko interested unaweza kunitafuta kwa 0655 477748 au 0767 477747...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Nauza hiyo simu nmeitumia kwa muda wa miezi miwili Tsh 330,000/=
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa anayehitaji PS2 ikiwa full na pad 1 anitafute kwa mawasiliano 0719115655
0 Reactions
0 Replies
626 Views
http://youtu.be/Q8IwKMXMQUc Maoni yenu wadau.
0 Reactions
0 Replies
926 Views
2 bedrooms, own luku and waters. Inside the fance. Location-close to AICC FLATS KIJENGE. Price 350,000tzs/month Main roads are accessible within 10mins walk. Call 0784246838.
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Nauza canon digital camera tsh 180000, Ina 10MP. ipo dar 0752953860
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Back
Top Bottom