Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
naiuza gari hili, ina cc 1400, automatic, petrol inatumia, gari ni ya mwaka 98,gari haina tatizo lolote na vibali vyote viko valid..bei ni 4.8mln...gari liko dar.kwa aliyevutiwa nalo ani...
0 Reactions
1 Replies
818 Views
Jamani hee anaetaka Galaxy Tab 3. 8 gb aje hapa achukue bei karibu na buree.ni mpya haija wahi kutumika toka ni nunue.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu kwanza niwashukuu saana nilipata gari mlilonishauri Baada ya kifanyiwa uchambuzi wa kina hapa. Naja Mbele yenu tena Naomba mwenye Hiace kwa ajili ya biasharaNamba za usajili C anijize...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar,anaitajika msichana wa kazi sehem ya kazi DSM tabata.Maongezi ni PM kama yupo Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
838 Views
  • Closed
Simu ni original na inaenda kwa laki Sita tu tsh.600,000/= ========================================== Simu Imeshauzwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza mimi mwenyewe kitu kipya kabisa nauza nina shida. G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100 4G Network LTE (market dependent) SIM Micro-SIM...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
RAV 4 NEW Model inahitajika iwe na cc 1800 kushuka chini Isiwe na zaidi ya mileage 120,000 kushuka chini Automatic transmission Iwe katika hali nzuri Serius business seller let's communicate even...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
habari; nahitaji fremu jijini dar, naomba tuwasiliane kwa 0787703107
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana nataka kubadili madirisha niweke ya Alminium.. maana nimechoka kurekebisha wavu wa mbu kila mara na familia inawasiwasi na mbu wa Dengue Sijajua bei ya madirisha haya na milango yake...
0 Reactions
20 Replies
23K Views
habari wana jf naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa izi friji za kuchanganyia juice na bei zake tafadhali anijulishe. Nawakilisha
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Simu v875 bado mpya imetumika miezi3 tu. Specification zake: Internal memory 4gb,Ram 512mb, Os android 4 #Kwa anayetaka kuinunua bei 85,000 #0752953860 #nipo Dar
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu nahtaji mashine ya kufatulia tofar zile za kisasa za kupanga. Kwa yeyote aliyonayo tuwasiliane ikiwa ni pamoja bei
0 Reactions
2 Replies
3K Views
lipo mbezijuu unashuka tankibovu dakika ishirini mpaka kwenye eneo, maji yapo umeme upo lipo kwenye makazi ya watu aliyesirious anitumie sms 0689315582, bei haishuki hata kidogo.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu mwenye hiyo simu kwa bei poa anipm tafadhali najua zimeshashuka bei.Nikipata mbili nitafurahi yangu na ya Mchepuko wa njia kuu
0 Reactions
5 Replies
849 Views
Tunatengeneza computer aina zote, tuna nunua na kuuza pc na Laptop, Tunadesign software including Database, website, Blog etc Tunafanya web hosting na Domain name registration, networking etc...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
ambaye anayo tuwasiliane kupitia 0716 282670 nipo ubungo,dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu, nauza mixer. Mashine mpya ya kukorogea mchanganyiko wa keki ya kg/litre 20 kwa bei ya 2.5 mill only.Nipo dar Najaribu kuattach Picha inakataa, ukinipm number yako ntakutumia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habar wana jf naomba kufahamu zinapouzwa izi friji za kuchanganyia juice na ni bei gani. Nawakilisha
0 Reactions
0 Replies
960 Views
HABARI ZA MAJUKUMU WADAU KUNA MZIGO MPYA WA SIEMENS DESKTOPS KUTOKA UJERUMANI KWA BEI NZURI YA 320,000/= SPECIFICATIONS NI KAMA IFUATAVYO: RAM 4GB Duo Processor 3GHZ Hard Disk 170GB.. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF! Nna ndugu yangu yupo Machimboni maeneo ya CHATTO mkoa mpya wa Geita, nimeongea nae kwa kirefu,anasema kuna viwanja na maeneo (yenye dhahabu chini ardhini) yaliyopimwa tayari na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom