Pikipiki ina miezi saba tuu tangu niinunue k/koo, na injini yake haijawahi kushushwa.iko katika hali nzuri and naiuza kutokana na usumbufu wa madereva
bei:mils 1.5
contact:0766611751...
Rejea kichwa cha habari shamba lenye ukubwa wa hekari 14 LINAUZWA maeneo ya Kisaki.
Ni zuri Kwa shughuli Za umwagiliaji na unaweza kufanya KILIMO mwaka mzima,hakuna season wewe ni kufanya crop...
Habari wakuu...
Nilikuwa nahitaji mtu ambaye nitaweza kubadilishana nae simu..
#mm natumia Tecno Phantom A plus (A+) bado mpyaaa,nakupa na tsh 60,000 ( Elf 60)
*android version 4.2.1 jelly...
Waungwana nauza eneo ukubwa wa ekari 2.23 Acres,Kaole Bagamoyo unapakana na bahari ya Hindi.Bei ni maelewano tumkama uko interested nicontact kwa mazungumzo.Am availbale through 0715-951337
Sqm 1008(robo heka),kinafaa kwa makazi,kipo njiani na gari inafika mpaka kiwanjani.400mita kutoka Bagamoyo Road(main road).
Bei 25 milioni,mazungumzo yapo.
0787485629/0764075649.
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited ni kampuni ya vijana wa kitanzania na kichina yenye ofisi yake Ghorofa ya 10, Ushirika Tower, barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja Dar es salaam, Tanzania...
Habari wna jamvi, kuna ndugu yangu anafanya kozi ya kushona na kudarizi, sasa anahitaji mashine inayoshona na kudarizi, naomba msaada wapi naweza kuinunua na inaweza kuwa shilingi ngapi...
NEW MODELS LAPTOPS ZINAUZWA KWA BEI NZURI,NI LAPTOPS ZA AINA YA HP NA DELL BUSINESS CLASS LAPTOPS AMBAZO NI IMARA NA ZINA HYPER SECURITY SYSTEMS
NI LAPTOPS ZA MATUMIZI YOTE YA...
Nipo Mwanza - Ukerewe nauza gari aina ya starlet mill.6.
engine capacity 1330
aina B
auto
petrol
mwaka1999
doors 5
haijaguswa engine na imelipiwa kila kitu.nauza sababu ya matatizo.kwa...
Tunatengeneza LOGO za makampuni, biashara binafsi, camps, teams, shule, vikundi vya ujasiliamali, tunaprint t-shirt kwa logo uipendayo na vinginevyo, BEI ZETU NI RAHISI SANA. Mawasiliano zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.