Tunatengeneza Milango ya mbao na frem zake, makabati ya Jikoni,na bidhaa zinazotengenezwa kwa mbao, wasiliana nasi kwa namba hizi 0782370200n 0754255734
Wanb0di
Napenda kuagiza suti za kichina bei kuanzia 100-150 kut0ka Dar,je vipim0 vyake nawezaje kutuma au kama unaduka la kuuza ni PM,mimi nik0 Mbinga-Ruvuma.
Ahsante.
Watu wengi wamesumbuliwa sana na unene na kutumia bidhaa zenye kemikali hivyo basi pata bidhaa za asili zenye kupunguza unene na vitambi bila kuleta madhara yoyote.kwa maelezo zaidi 0754401729 au...
Ipo Kibaha. Ina vyumba vitatu vya kulala,jiko, sebure na dinning area/sehemu ya kulia chakula. Imejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka. Kiwanja kina mimea tofauti tofauti kama miti ya...
Wadau Wote Wenye Ndugu Jamaa Na Marafiki Wanaotaka Kujiendeleza Kimasomo Ya Sekondari Kwa Waloikosa Sasa Yapo Madarasa Kwa Ajili Ya Wafanyakazi Na Wasio Wafanyakazi,utachagua Muda Wako Wa Kuingia...
Ni used ila bado iko poa kabisa, touch and type, 8GB of onboard memory, 5MP snapper (with flash), GPS, Wi-Fi, NFC, HSPA and 1GHz processor. ukiwa interested nicheck kwa 0715841111
Kichwa cha habari kinahusika kama kilivyoandikwa
Bei ya hecta 1 ni 200,000.
Ukubwa wa shamba hecta 30.
Wakati wa masika unaweza lima mazao kama mpunga na wakati wa kiangazi waweza lima vitunguu...
Kama kichwa habari kinavyosomeka. nauza hizo till sababu biashara imenishinda.
Kwa anayehitaji anicheki pm,zote laki saba.
Kwa anayenunua moja moja tigo pesa ni laki tano airtel laki na voda...
Salama wakuu,
Nafatua sehemu wanayouza mitungi ya shisha na fleva zake.
Nitafurahi ikiwa ntajua bei zake.
Nipo Dar es salaam mwenye kujua naomba anijuze nataka kwa ajili ya biashara...
PC-tablet hyo inauzwa au kubadilishana na simu.Tatizo lake ni kwamba chaji yake imekufa so haina chaji kama una uhakika wa kupata chaji yake ni dili zuri kwako
specifications:
2gb ram
1.5ghz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.