habari zenu wakuu, nimeamua kuuza gari langu Suzuki Escudo. Lipo vizuri na linatembea. Tatizo lake ni moja tu, lina missing wakati wa kuendesha.
Make: Suzuki
Model: Escudo
Color: Blue
Year: 1994...
Bajaji nauza 2.1Milioni no negotiations(bei haishuki ndo ya kuuzia) , maelezo ya conditions hayo chini
1.NAMBA ya usajili :T643BTL
2.Engine Condition: Nzima sana -inadai hata miaka 2mbele...
Habari wadau.
Rejea apo juu nina shida na huawei y300 nyeusi iliyokufa.Nashida nayo kama toy kwa mwanangu.
Ameipenda simu yangu sana na anaililia mno.
Namba yangu ni 0787 408180.
Dau 30k
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilays ya Longido kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati...
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA....kina ukubwa wa sq. 1,113 sawa na viwanja viwili vya 30 kwa 20; Ni corner plot; kipo Longido mjini karibu na H/Wilaya ya Longido kipo mita chache sana kutoka...
nauza samaki wa kufuga aina
tofauti na ntakeletea mpaka
ulipo kwa bei nafuu
gapi pea
5000
red pea
10000
gold pea
10000
gold wakubwa 30000
gulam 20000 Picha...
One ya Tigopesa, m pesa na Airtel money zinauzwa. Zote tatu bei ni 1.5 M negotiable. Na eneo la ofisi ya kufanyia hiyo biashara pia lipo coz mtu anabadilisha business. Au ukitaka kuchukua pia...
Simu imetumika wiki moja
Haina michubuko wala kasoro yoyote
Kwa maana nyingine bado mpya
Ina kila kitu chake(accesories) + power bank and original phone case
Mawasiliano:0652574408
nipo Dar
Beautiful dark grey metallic 4x4 , vvti, smooth ride, full air condition, abs, petrol, leather interior, navigation system connected with stereo, CD changer, imported from UK, the only reason am...
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA....kina ukubwa wa sq. 1,113 sawa na viwanja viwili vya 30 kwa 20; Ni corner plot; kipo Longido mjini karibu na H/Wilays ya Longido kipo mita chache sana kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.