Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza gari aina ya Suzuki Escudo yenye milango 5. Imetembea km 118,000. Bei million 8. Engine bado ni nzuri na hajawahi kuwa na tatizo. Mazungumzo yapo kwa atakayeonyesha nia ya kununua.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa aliyenayo anitumie sms 0689315582
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza Nokia N9 ina specs zifuatazo: Network 2G,3G,Mini-SIM,Wifi,Wifi Hotspot Display 3.9' Super Amoled Screen Internal Memory 16GB,RAM 1GB Camera 8MP CPU 1 GHz Cortex A8 Iko poa kabisa. Bei...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Viwanja vinauzwa! Vipo Kivule Magore, Ukubwa na bei ni kama ifuatavyo 1. Sqm 587 sh 15m 2. sqm 798 sh 25m 3. Sqm 3412 sh 60m Viwanja vyote vina hati na vimezungushwa ukuta. Kwa mawasiliamo piga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji hiyo simu bajeti yangu 120000
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salama! Nauza line ya tigo pesa, kama uko serious tuongee biashara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yeyote mwenye eneo la kuuza kuanzia heka 10 na kuendelea, liwe maeneo ya kuanzia Mwenge hadi Tegeta. Anipm au email; buyanza@gmail.com. WhatsApp: 0712 787939 Msisitizo: Eneo hilo lisiwe mbele ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta gari ya kununua ya thamani ya Tshs milioni tano, ambayo iko kwenye hali nzuri. Nipo Singida
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kama kuna mtu anataka wadau mambo ya nauli mpaka ulipo ni juu yako mshahara nilazima uanzie 30000 mm nakula kilemba 100,000
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Milango ya mninga inauzwa kwa bei poa,ipo single na double kwa mawasiliano piga.0783201037. Single:upana 33 kwa 210 urefu. Double:upana 45 kwa 210 urefu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu naombeni kama kuna mtu yeyote anaye anayeuza uza kreti za soda zenye chupa aniuzie au hata kama una chupa tupu hata kuanzia kumi pia sio mbaya kama utaniuzia kreti na chupa zake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nauza bidhaa za oriflame ambazo ni vipodozi kwa wanawake na vipo baadhi kwa ajili ya wanaume kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia 0758513593
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Wadau nahitaji Tv flat screen mbili nchi 32...offer yangu ni laki tatu kila moja...zisiwe zimechoka au mbovu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
natengeneza simu online kam ina tatizo kati ya haya yafutayo 1.imezima gafla 2.haitaki kuwaka 3.umeshau password so unataka kuflash 4.imejilock 5.inawaka na kuzima Na nk kifupi ni tatzo...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Kwa yeyeto anayehitaji kiwanja hecka moja kipo maeneo ya mikindani mtwara barabara kuu ya mtwara dar-es-salam wasilana na mimi kupitia namba 0656071876 or 0754756100
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Milango ya mninga inauzwa kwa bei poa,ipo single na double kwa mawasiliano piga simu.0783201037. Single:upana 33 kwa 210 urefu Double:upana 45 kwa 210 urefu. Bei:single 180000 . double...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye kuhitaji software za ku upgrade account za azsky g2,g6, q,sat,x-man g8 na x-master. just pm!
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wa JF! Napangisha nyumba ni units mbili. Unit yani upande mmoja una vyumba viwili, jiko,sebule na public choo + bafu. Kuna tank la maji fence na parking pia. Kuna vibanda vya mbwa na kuku...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa waitaji wa kununua nyumba viwanja viliyopo kigamboni... Na wale wawekezaji wakubwa mnaoitaji meaneo Tuwasiliane, Namba +255 713547228
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza laki mbili piga namba 0753563368 nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Back
Top Bottom