Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa wauza maduka ya tv mafundi na wataalamu wote! Naomba kujua ni Tv aina gani hizi za flat zina ubora zaidi na bei yake ikoje? Nawasilisha!
0 Reactions
3 Replies
749 Views
Wakuu nahitaji hyo kitu haraka Sana maana yangu imeibiwa na nna kazi ya kufanya haraka. Kwa anayejua wapi naeza pata anijulishe plz. Thanx
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni used miez mitatu ipo kwenye hali nzuri kama unahitaji ni pm npo bukoba bei 350000
0 Reactions
1 Replies
764 Views
wadau kwa mwenye simu kati ya hizo hapo juu.. tubadirishane... nina tecno p5 ntakuongezea na k .. pm tuongee.... au cheki kwa # hii 0654715457
0 Reactions
0 Replies
898 Views
TV-Ouling bei ni laki na kumi. Laptop HP Processor:Dual Core 2.0 GHZ Memory:2 GB ram DVD/CD Rw HDD 160GB Bei 250000/= 0769079753
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unahitataji kujenga na unajiuliza wapi pa kupata plan(ramani) ya nyumba usihangaike tena. Naanda ramani ya nyumba ya ndoto yako ikiwemo mionekano ya 3d kwa kutumia softwares za kisasa...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Town ace pickup Colour white Distance c: KM222578 Bei million 10 #0752953860
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Dell Optiplex desktop zikiwa complete yaani pamoja na Keyboard na Mouse zinauzwa,ziko kumi, bei ni 300,000 kila moja mwenye kuhitaji ani PM
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mpya na zilizo2mika
0 Reactions
6 Replies
995 Views
Kwa 80000 tu. Haina tatizo 0654568084
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Kwa wakazi Wa dar maeneo ya ubungo Kama unaenda kimara (Kona)chumba na seble kinapangishwa kipo ndani ya fensi(geti) wapangaji mtakuwa wawili maji yapo ndani sh90000kwa mwezi.Kama unaitaji nichek...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
kiwanja kipo kigamboni amani gomvu....siyo mbali na barabara.ukubwa wa viwanja kipo sqmt 500, kipo sqmt 600, na kipo sqmt 590 ......bei ya sqmt ni sh 9000...viwanja viko nyuma ya appartments za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu. Kuna jamaa yangu yupo marekani anakuja wiki ijayo. Nimemwomba aniletee simu 2 amekubali. Tatizo tunalopata ni jinsi ya kumtumia hizo hela maana nimekwenda benki nimtumie kwenye account yake...
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Pata King'amuzi "PORTABLE" chenye GOSPEL CHANNELS zaidi ya 80. King'amuzi hiki Kinapatikana kwa Bei ya 240,000 ikiwa ni majumuisho ya Manunuzi na Instalation. Hakuna tena Malipo Mara baada ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu gari hiyo inauzwa bei nzuri. Bado mpya
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi.samahani nilikua natafuta frame nzuri kwaajili ya Biashara mkoa Wa Arusha maeneo ya mjini kati kama mtu anayo au anamjua ndugu yake au jamaa aliyenayo tafadhali naomba aniPM...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Habari wanajamvi.samahani nilikua natafuta frame nzuri kwaajili ya Biashara mkoa Wa Arusha maeneo ya mjini kati kama mtu anayo au anamjua ndugu yake au jamaa aliyenayo tafadhali naomba aniPM au...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Kama unahitataji kujenga na unajiuliza wapi pa kupata plan(ramani) ya nyumba usihangaike tena. Naanda ramani ya nyumba ya ndoto yako ikiwemo mionekano ya 3d kwa kutumia softwares za kisasa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mbuzi wenye mimba ya miezi 3 wanauzwa, chotara. Kwa mbuzi mmoja ni Shilingi 75,000. Atakayehitaji anitafute kwa namba hii. 0718424824 au 0687040297. Karibuni sana.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama unahitataji kujenga na unajiuliza wapi pa kupata plan(ramani) ya nyumba usihangaike tena. Naanda ramani ya nyumba ya ndoto yako ikiwemo mionekano ya 3d kwa kutumia softwares za kisasa...
0 Reactions
0 Replies
40K Views
Back
Top Bottom