Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
wadau natafuta bidhaa tajwa hapo juu,iwe kampuni yoyote, iwe kwenye hali nzuri, isiwe na michubuko, ukubwa kuanzia inchi 14 na kuendelea. bajeti yangu 150,000 nipo Arusha contacts:- 0684204980
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Kiufupi Mimi ni mtumishi wa serikali Nimeandaa script nzuri asili ya kabila la kihaya kuna kaela kidogo kama mil5.zamaandalizi ya a wali nahitaji mtu aliyetiyali kucheza awe na ela kidogo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahtaji simu tajwa hapo juu bajeti yangu ni 130.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninahitaji mabanda ya kukodisha kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe au kuku. Yeyote mwenye mabanda hayo au anaejua mahali yanapopatikana katika jiji la Dar tafadhali anifahamishe. Namba yangu ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haya sasa vitu vyote n used mwenye uhitaji tuwasiliane PM. Mkoa n Dsm Kitanda 5X6 bei 130,000. Godoro super banko 5X6 110000. Mtungi mdogo oryx 70,000 Meza ndogo 25,000. Monitor ya dell 19' Sh...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari za asubuhi wana jf nauza Samsung S5 clone mpya ikiwa kwenye box 📦, Made in Korea, Nina pcs 5 rangi ya Gold,white,na black, bei Tshs 420,000/= laki 4 na elfu ishirini, kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau ninahitaji marin boards za kujenga kajumba kangu ninahitaji kama 90 hivi offer yangu ni 35, 000 @. Kama unazo na upo dar niPM.
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Nauza lain ya mpesa na ya tigopesa.tigopesa nauza lak 6 na mpesa nauza laki na 60.kwa atakayehtaj anaweza npigia kwa namba 0712620078
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Gari aina ya balloon GX 90 inauzwa ni nzima haina tatizo lolote Milioni 3. Kwa mawasiliano 0767377800. Gari ipo Dodoma mjini.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
nauza samaki wa mapambo aina tofauti kama zifuatavyo black more shiling 9000 kwa pea serfin more shiling 9000 kwa pea orange more shiling 9000 kwa pea gapi wekundu shiling 9000...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Wakuu naomba kusaidiwa zilipo ofisi za AUTOREC kwa Dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani ukienda kununua hzo lain za mpesa wakala,hiyo hela unayotoa ndo inakuwa ya kudeposit au ya kununua ni hela yake na ya kudeposit ni hela nyingine?mwenye kujua naomba anieleweshe
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mwenye kumiliki iPad 2 na yuko willing kuuza basi tuwasiliane. Iwe katika condition nzuri.
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Habari za asbuhi wakuu...nauzaaa hiyo simu kwa laki 2 na 50. #imetumika kwa wiki 3 tu.....nakupa na all its accessories ##for business u can PM me 2ongee
0 Reactions
4 Replies
966 Views
ipo kweny hali nzur,internal memory 78mb,unaweza ukaweka external memory card...120000 tu
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Bei ni tsh.140,000/= tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari zenu? Kwa wale wanaohitaji kupata barua za mwaliko"Invitation letter kutoka nchi mbalimbali wanazotaka kutembelea,na wameshindwa kupata passport au VISA,basi wawasiliane nami ili...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Adapter original ya HP kutoka USA sh. 80000/= unaweza tumia pia kwa PC za DELL , nipigie 0715 81 21 60
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Wadau nahitaji kutoa copy mitihani ya muhula,wapi wanatoa copy kwa bei rahisi kati ya Moro au Dar?
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Back
Top Bottom