Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari zenu ndugu, Naomba msaada kutoka kwa wapenda maendeleo wenzangu. Naagiza magari ya kuuza lakini focus yangu ni kuuza mikoani kwani mjini sasa hivi kila mtu anaagiza magari na demand...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Shamba heka 8 linauzwa mataya Bagamoyo bei ni 50mil. Just 4km toka Barabara ya bagamoyo road sitaki mtu wa kati.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kwa wanaohitaji line tajwa hapo juu tuwasiliane kwa no. 0754827198, 0716099463 TIGO 650,000 VODA 250.000 AIRTEL 150,000
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau plotter Uko kwenye hali nzuri inauzwa Hii ni set IPO plotter , digitizer na computer set yake Tafadhali Angalia picha Na kwa muhitaji ni pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Price:TSH 15,500,000 Kilometers: 99,800 Drive:Four Wheel Drive Transmission: Automatic Colour:Beige Phone: +255 767 205 419 Area: Dar Es Salaam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau please naomba tusaidiane katika hili maana kiukweli madalali wanasumbua NIMEWAPA WIKI NZIMA yaani anakupigia simu mnaenda mkifika anakuonesha unamwambia mbona maelezo ya sim nahapa ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
A nice located plot 2,953 ft2/900 m2 on Nelson Mandela Road near Tabata traffic rights, has old residential buildings which can be demolished and build new building ideal for commercial purposes...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Ninauza dagaa wasafi kutoka Mwanza walioandaliwa vizuri bila mchanga. Bei kilo moja nishilingi 5000/= Kwa mteja anayehitaji kilo kuanzia kilo100 nakuendelea aliepo mikoa ya Singida, Dar es...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
IPO vizur name bank chaja take Bei LAKI 3 0754992446 NO YANGU HIYO
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF? Kuna mtu anatafuta mtu anayeweza kumwandalia cash flow na kumpangia vizuri rekodi zake za mahesabu (mapato na matumizi). Yuko Dar (Kimara)
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Internal memory 32gb Contact:0659223322
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Gb 16 lnternal memory,ram 2gb Contact:0659223322
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Type:toyota Model: passo Man yr:2004 Eng capacity:990cc mileage:84,564 sport rims,Dvd player and comprehensive Insured Bei negotiable...wasup au inbox numba 0717297923 if ur interested
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Ninauza Oil ambayo tayari imetumika ( chafu ) nina jumla ya pipa 20 pipa moja ni Tsh 150,000 napatika mbagala rangi 3 kwa anayehitaji tuwasiliane 0657145555
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunatengeneza bidhaa aina ya lotion,Body cream,Jelly zinazotokana na mimea,na matunda kama vile: ALOEVERA,Parachichi,Mzeituni,kitunguu swaum,Nazi,Carrot, ni bidhaa bora,zimethibitishwa na TBS,Ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wapendwa,nauza vitenge toka Congo bei 45000/=karibuni...ni pm ukihitaji unaletewa mpaka ulipo @
1 Reactions
21 Replies
11K Views
Habari wanajamii,,nahitaji upande wa kupanga,room moja na sitting room,na jiko km lipo,,maeneo ya kijitonyama mpaka morocco. Kwa anayeweza kunisaidia dalali nitashukuru. Asanten.
0 Reactions
2 Replies
949 Views
TOYOTA HARRIER 2005 - Stock Id: 415402 FOR TSHS 27M Chassis # ACU30-0036379 Car Make TOYOTA Car Name HARRIER Year/Month 2005/6 CC 2400 Transmission AT Color Silver Fuel Petrol 189000 km mileage
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa, nimeibiwa simu yangu. Na hyo ndo salio nililonalo kwa sasa. Nahitaj cm itakayonisaidia kwa kipindi hiki. Km unayo, naomba nicheki now.
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Jaman naomba msaada wa kupata kioo(touch) ya nokia lumia 820,maana simu yangu ilidondoka na kioo kimecrack ,Je huwa zinapatikana? na kama zinapatikana wap na bei gan?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom