Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wadau, Leo nawaletea samsung Galaxy pocket.. In good condtion.. 0787 408180 bei 140,000,,<<neg.>> nipo dar-Posta
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Mwenye kuhitaji tecno p5 kwa 120000 niko mtwara.
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Wakuu linatafutwa eneo linalopakana na barabara ya Morogoro eneo la Kibaha lenye ukubwa wa heka 3 au zaidi kwa ajili ya kufungua yard. Tafadhali kama kuna mtu anafahamu upatikanaji wake atupie...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Hi, Nauza Toyota verossa, Year; 2001 imported from Japan 2013. CC ; 1980 Namba C. Bei mil 8. ni pm piga 0769 610 622.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
(20 x20)m kwa tsh m7. Eneo malamba mawili mbezi. Iko karibu na stand ya daladala. Piga 0784246838 kwa maongezi zaidi. Ukitaka eneo kubwa zaidi inapatika hapohapo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu? Naomba msaada wenu,ninahitaji kupata mayai ya Tausi ISHIRINI,kwa anayejua namna ya kupata naomba mnijuze.Mimi nipo Arusha mjini. Simu 078714032 au niPM.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
nauza nokia e7 ni used kwa miezi minne,kioo kimevujia kdgo ila inaonesha,unaweza kuchange kioo kwakua bdo ni mpya bei 125000,kama unahitaj ni pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je umebahatika kukutana na tablet yenye uwezo wa aina hii..... 1.CPU: MTK 8389, 1.2GHz, Cortex A7 Quad core 2.OS: Google's Android 4.2 3,RAM: DDR3 1GB 4.NAND flash RAM: 8GB -32GB(optional)...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Bei yake lak nne na nusu haina tatizo lolote aliye tayar ani inbox Model tab2.10.1
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya kupanga,ni nyumba ya kuishi na si ya biashara, maeneo ya sigara chang'ombe jirani na TCC club. Iwe na fence na geti,sebule na angalau vyumba 2 vya kulala,maji na luku ya...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
nauza selcom machine-nitumie private msg kama unahitaji
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Habar wakuu.nimefanya tafifi zangu na ninerizika sana na uwekezaji wa bar mjini morogoro.changamoto niliopata ni kupata sehemu hivyo mwenye taarifa ya sehemu nzuri ya kukodisha au mwenye sehemu...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
nauza tecno p3 ina wiki kama tatu hivi kwa mawasiliano zaidi piga cm 0716171698 au 0762480799
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiwanja kipo kata ya goba B, mtaa wa kurangwa, dakika tano kutoka kinzudi Nyumba ilipoungua. Kina ukubwa sqrmeter 400,bei milioni 6.5 #0752953860
1 Reactions
0 Replies
795 Views
KIWANJA KIGAMBONI BLock 6, SQM. 526, MWONGOZO JIRANI NA MRADI WA NHC M100, PLot 212 kipo kwenye corner BEI .M30 Maelewano Contacts:- 065 584 1348 065 584 1348
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi ndugu zangu, Kwa Wale wanaohitaji ku invest ili kujipatia kipato baadae karibuni jipatie shamba hili.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu,, kama nilivyosema hapo awali, kama kuna mtu mwenye mercury anauza au anafahamu mahali inapopatikana tafadhali tuwasiliane!! Uhitaji ni mkubwa tafadhali nahitaji ushirikiano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau samahan naomba kujua bei ya taa ya projector aina ya NEC.....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari ya kwenu? mimi nipo Arusha, ninatafuta fundi wa kunitengezea Konica Bizhub Minolta C. 280. Mwanzo ilikuwa inatoa error fulani mara inapotea lakini siku za karibuni inatoa error 5501...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza AC split unit aina ya Sanyo bei ni laki nne na nusu tu. Halina tatizo lolote ni la kuchukua na kufunga tu. Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom