wakuu heshima kwenu. kama wewe ni mfanyabiashara wa Kuku. unahoteri ama cafteria ama ni muuzaji wa Kuku. Kuku bora wenye afya wa kienyeji wanapatikana wakitokea nyanda za juu kusini
ni kwa...
Wadau, nataka nifungue account mpya kwa ajili ya biashara na pia kupitishia pesa za mshahara wangu.
Nishaurini bank nzuri. Ambayo hata nikiwa nje ya nchi naweza kuingizia pesa.
Mfano: nipo USA...
Habari jamani. Ninaandika ujumbe huu kwa kuomba msaada. Mtanzania mwenzetu amefariki in Madison Wisconsin-USA, wanatafutwa ndugu zake. Ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka...
Habari wakuu, Natafuta Nyumba ya msajili wa Majumba (NHC) Maeneo ya Posta na kisutu, aina ya nyumba ninayotaka ni ile ya kumlipa mtu mwenye mkataba fedha ili anipe mimi nyumba, iwe na vyumba...
kuna apartment mbili zinapangishwa, zipo mbweni ni nyumba mpya ziko katika hali nzuri sana, zina view nzuri sana hadi sasa natafuta kampuni inayoweza kupewa kazi ya kuzipangisha....kwa yeyote ani...
aina ya gari-nissan xtrail mwaka wa kutengenezwa - 2001 bodi: station wagon rangi: silver mafuta yanayotumika: petroli cc: 1968 mahali ilipo: kigoma/ujiji imesajiliwa, plate number utazipata soon...
Antivirus aina ya Avira. (warranty ya miaka miwili) ni halali /genuine.. sio ya kudownload. kwa shilingi 20, 000 tu.
Pia Computer maintenance service kwa upande wa hardware na software...
Blackberry Bold 9790 yenye 8 Gb Touch screen na botton used inauwa beiii cheee 195,000. Kwa mawasiliano zaidi piga hii namba 0765838708 nipo Arusha
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.