Kuna ndama watatu (3) wenye umri wa miezi mitatu - wote majike.
Niko Dar (Pugu - Majohe).
Kwa anayehitaji nauza kwa 600,000 Tshs kila mmoja.
Anayehitaji wakubwa pia wapo (wenye mimba kuanzia...
Jipatie simu tajwa hapo juu kwa bei nafuu kabisa. Ni Sony Xperia M (c2005) duos. Kama inavyojieleza simu hii ni double line. Kwa kifupi Specs zake ni
OS Android 4.2.2
CPU duo cores...
LG E400
NI SMARTPHONE IMETUMIKA KIASI.!!!
BEI :100,000 Punguzo tunaongeaaa
NOKIA LUMIA 610
IPO KWENYE HALI NZURI SANA...
BEI .: 150,000
NOKIA ASHA 210
INA ONE WEEEK TUUU
BEI...
SALE OF USED VEHICLES & EQUIPMENT
Catholic Relief Services CRS invites sealed bids for the purchase of following used
Vehicles & Equipment:
ITEM
MAKE
YEAR
CONDITION
LOCATION
T 543 AYM...
Wakuu natafuta speed meter (dash board) ya Isuzu Bighorn ya 1998 yenye TOD kama ianvyoonekana kwenye pich hapa chini inayofanya kazi.
Mwenye nayo ani PM as soon as possible.
Kwa yeyote...
jaman wana jf mimi nina shida ya kuelewa tofauti ya hizo terms.nimetumia simu yenye otg(on the go support) ya nokia e6 imekuwa ikisoma flash bila shida na nimeenjoy hyo support using otg je hii...
Natumaini mko poa, nahitaji kununua deki ya DVD sijari kama ikiwa mpya au hata kama imetumika nachotaka isiwe inachagua kama zilivyo deki nyingi za kitaa, bajet yangu ni sh elfu 25, kama unao...
Ipo tabata kisukuru, ina vyumba 3 (kimoja masterbedroom) , ipo katika hali nzuri sana, 15 dakika kutoka external stand mpaka kwenye nyumba kwa gari, ina parking ya magari mawili madogo, umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.