LG smartphone used but in mint condition, soory guys natumia simu so ntaweka details za muhimu kama nlivozipata kutoka kwa mhusika.
model ni LG-SU760
upgraded to OS android 4.0.4
internal memory...
Wadau wa magari kama nilivyoandika katika kichwa cha habari. Bajeti yangu ni mil 7 tu ila napenda kupata very good conditioned used alteza haijalishi iwe model ya lexus is au gitta ingawaje...
Wandugu,
Haijatembea bara bara za TZ
Nimeweka attachment katika format ya word kwasababu nimeshindwa kuiweka katika mfumo mwingine.
Specs:
Year 2003
OD: 100,350kms
CC: 1,500
Bei 10,000,000/=...
Hawa jamaa wanjiita Creative city homes au KOPA NYUMBA hivi sio mataperi hawa????
Embu kwa wale ambao wameshawasikia tufahamisheni kidogo.
http://kopanyumba.co.tz
Kopa NYUMBA® Sep13 | CCH
Audio cd za hotuba ya ufunguzi wa bunge la katiba la tarehe 21/3 , ipo tayari kwa anayehitaji kwa jumla ani pm , anipe idadi anayohitaji. Kuna watu wengi ambao hawakuisikia na wengine wanaohitaji...
Habari zenu wakuu
Spacio car inauzwa kwa bei tajwa hapo juu gari ipo katka hali nzuri kabisa pia unaruhusiwa kuja kuiona physically
PIGA 0757 585 102
Au ni pm
Kama maelezo yanavyojieleza hapo juu,Kiukweli huwezi kupata gari ya aina hii kwa bei hii,Gari ipo katika hali nzuri kabisa,namba yake ni BAY,leathered seats,intelligent key system,ila kuna...
Nina national housing mtaa wa Samora, natafuta mtu wa kumwachia sehemu yangu na mkataba wangu ntafanya hadi transfer.
Ukubwa wa eneo ni sq 15.
Panafaa kwa ofisi.
IPAD 3 FOR SALE IN DAR
Specifications:
Version: Ipad 3
Memory: 16GB Internal
Network: 3G + Wi-fi
Price: Tsh 550,000/= (Not negotiable)
Condition: Very Good, used for just one month
Contact...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.