Habari za asubuhi wana jamiii.
Natafuta gari ya kukodi kwa muda wa siku mbili, dereva na mafuta juu yetu, bajeti 100000/= kwa siku mbili zote.
Mwenye nayo ani pm
Habari wakuu, nauza laptop aina ya Dell inpiron N5040 yenye sifa zifuatazo
Laptop specs.
model;Dell inpiron N5040
RAM; 2GB
processor; intel pentium p6200
speed; 2.13GHz
system type; 32 bit Os
Os...
Nina TECNO PHANTOM F7 3G naiuza TZS 299,000/= tu. Ni smartphone nzuri yenye Android OS. Ina double line na accessory zote, iko katika hali nzuri.
NB: Nimeitumia kama mwezi na nusu, lakini haina...
simu zote ziko poa zina tatizo kwenye screen,galaxy mega mpya imetumika miezi 3 ikapata water drop iko blank kwenye screen lakini mawasiliano yote unapata.
google nexus s ilidondoka screen...
Nimeuza simu muda si mrefu so nahitaji simu fasta sana weekend hii ya ku replace
Specs ...
Budget. Laki moja cash.
Aina: samsung,lg,nokia(line 2 au 3)
Isiwe ya kichina tafadhali mf...
Simu aina ya samsung galax ace (android) inauzwa kwa Tsh 200,000 tu bado ipo katika hali nzuri kabisa inasurpport line zote na haina tatizo lolote... wasiliana nami kwa simu namba 0764361843 nipo...
Habari wakubwa, mi nimeiona hii model kwenye mitandao na nimeipenda ila sifahamu jinsi ilivyo,wala bei yake kwa yard za hapa Tz naombeni ushauri wenu juu ya ubora wake na uimara wake,natanguliza...
Halo wadau. Habari za ku hastle?
Ebwanaee kuna boonge la dili wadau nataka ni share nanyi.
Ni kuhusu biahsara iloingia kwa kasi zaidi hapa town, Asee watu wanapiga hela wadau. (Usimwambie mtu)
Ni...
Samsung 300E4Z/300ESZ/300E7Z for sale
DUO CORE (2 CPUs)
Memory:2048MB,HDD:320GB
Used few months lOoks like BRAND NEW
Still in A BEAUTIFUL CONDITION
PRICE:465k
contact:0659223322
Kama maelezo yanavyojieleza hapo juu,Kiukweli huwezi kupata gari ya aina hii kwa bei hii,Gari ipo katika hali nzuri kabisa,namba yake ni BAY,leathered seats,intelligent key system,ila kuna...
heshima kwenu, natafuta frame/
mlango wa kukodi. Eneo la mjini dar
es salaam. Ikiwa ni posta, akiba,
mnazi mmoja, samora na
kwingineko. Kwa ufupi sehemu ya
mjini yenye movement, niko tayari...
Tunayo Maeneo ya kuuza na kuwekeza yenye utajiri wa madini ya Copper Ore.
Kiwango kilichomo kwa asilimia ni 46%
PML 45 Zinauzwa
PML 10 Wanakaribishwa wawekezaji
N.B PML moja ni sawa na...
Nataka kujiunga na Forever Living Products niwe nauza bidhaa zao za alovera kama nyia ya kuongeza kipato changu. Wenye uzoefu naombeni ushauri au wale mliojiunga na mko mpaka sasa au mliojitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.