Habari gani wakuu? Nimewaletea habari njema!
Nauza viwanja KIgamboni eneo la Mwasonga ambalo liko baada ya Dsm Zoo.
Eneo ni zuri sana, maji yako karibu, panafaa kwa ufugaji wa samaki, kuku...
Wakuu nimeanza project ya kuchoma mkaa vijiji vilivyopo kando ya barabara ya Mbeya- Chunya(Ilea), wiki ijayo nitakamilisha gunia 100. Nina mpango wa kuusafirisha mpaka Mbeya mjini, hivyo kwa walio...
Wadau,
Watu wamekua wakizitafuta sana hizi laini za M-pesa na kuishia kutoa hela za kutosha tu kuzinunua huku laini ikiwa kwa jina la mtu mwingine. Wapo naowafahamu wamezinunua mpaka kwa Tshs...
Jamani wanajamvi all over Tanzania namtafuta jamaa mmoja anaitwa ABRAHAM NYANGE ninachojua ni kwamba anaishi Ilala....Namba yake ya tigo haipatikani......kwa yeyote atakayenisaidia kuweza...
kiwanja kinauzwa kipo mbezi beach tangibovu mita mia mbili kutoka barabara kubwa ya lami. Kiwanja kina ukubwa wa square meter 1600 kina site plan.
Bei tsh.250,000,000/=
kwa mawasiliano, contact...
Wakuu nauza mashine tajwa hapo juu ina ram 2gb, processor core 2.00 ghz, 64 bit os, window 7 professional, hdd 250gb, dvd rom RW ipo kwenye hali nzuri pia ina tatizo la betri tu, Bei ni 380,000...
Haya wanadada naona bora nijihangaishe na biashara labda mtaniunga mkono belt ya kuingiza ndani tumbo inauzwa mpya mwenue interest aniprivate kuna na vipodozi vingi tu unaorder naleta asanteni ndo...
Kama unahitaji huduma ya ketengenezewa kadi ya birthday yako yenye picha yako ,kubadilisha background ya kwenye picha yako, kuwekewa digital picture frames, kuunganisha picha na huduma nyingine...
Kama unahitaji huduma ya ketengenezewa kadi ya birthday yako yenye picha yako ,kubadilisha background ya kwenye picha yako, kuwekewa digital picture frames, kuunganisha picha na huduma nyingine...
Pata Adata Usb flash yenye capacity ya 120gb kwa bei nafuu ya tsh.55000/= tu kwa anaehitaji awasaliane nami kupitia 0689341445
PS: Toa order yako mapema kabla mzigo haujaisha...
Talented brothers Academy ni center inayotoa mafunzo kwa QT,Re-sitters,Pre-form five,paoja na form 6.Tunatangazakutakuwa na Solving,exams,na mafunzo kwa vidato vyote kwa somo la geography chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.