Habari wakuu...
Mm Nina tecno phantom A+,IPO in good condition...bado mpyaaa
#nakupa na all tx accessories, km kuna m2 ana cmu nzuri ambayo haina matatizo na angependa 2badilishane anaweza kuniPM
Rejea kichwa cha habari hapo juu, H. UNIT ONLINE BUSINESS imefanya research na kugundua kua watu wengi wana matatizo ya laptop! Mfano mdogo tu spika nyingi za laptop hua zinatoa chenga lakin...
Habari gani wakuu? Nimewaletea habari njema!
Nauza viwanja KIgamboni eneo la Mwasonga ambalo liko baada ya Dsm Zoo.
Eneo ni zuri sana, maji yako karibu, panafaa kwa ufugaji wa samaki, kuku...
kiwanja kinauzwa kipo KIVULE manispaa ya ilala,bei maelewano jamani mwenyewe ana matatizo ya hela kwani anadaiwa mkopo hajalipa hivyo anaomba kama kuna mtu anataka kiwanja kipo sehemu ya tambarare
helps to fade discoloration under the
arm
and other sensitive areas. Extra
strength formula helps to prevent unpleasant body odor smell and retain the natural conditions of the skin, highly...
Habari za majukumu waungwana,
Natumai sote ni wazima na tunaendelea vema na uwajibikaji wa kila siku.
Kuna asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora, inapatikana Dar es salaam kwa wingi...
Niliwahi kuweka post kuwa nauza Gari aina ya Mercedes Benz, bahati mbaya nilikuwa nje ya mtandao na sikuwa napata sms.
Bado ipo naiuza kwa Tsh. 3'800'000/= namba zake T.....AVU IMETEMBEA KM elf...
NYUMBA ZINAUZWA,
Nyumba iliyokamilika ipo mbezi mwisho bei maelewano.
nyumba nyingine haijakamilika ipo mbezi malamba mawili ina foundationi ya ghorofa moja,kiwanja robo tatu
naomba unipigie...
Natafuta kiwanja boko au bunju kiwe kama square metre 1000 na kisiwe zaidi ya mile moja kutoka bagamoyo road.
Naomba kwa anayejua bei ni kama kiasi gani?
Simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei ya 345k. Mwenye kuhitaji ni pm then ntakupa contacts zangu tufanye bizness. Simu ni original(made in Korea),imetumika kiasi na ipo ktk hali nzuri. Ina internal...
Kwa yeyote mwenye mtambo wa kuprint t shirt naomba ajitokeze hapa tuangalie uwezekano wa kufanya biashara,n haraka sana wakuuuu nataka iwe leo makubaliano kesho kazi ianze.
Nawasilisha wakuuu...
Habari,
nawaletea machine ya kunyolea..
used kitambo, ipo inapiga mzigo fresh,inahitaji minor service kama kuwekewa mafuta na kukazwa nati..
bei 35k
0787 40 8180
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.