Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau, ninatafuta kununua kampuni ya clearing and forwarding iliyokamilka. Isiwe na madhambi yeyote, fines, wala kudaiwa kodi na TRA. Iwe imefanyiwa annual filings za BRELA. Any interested...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza fridge ndogo aina ya Boss,nimeitumia miezi 8 tu,iko ktk hali nzr sana. Bei 180,000 Niko dsm Contact 0758293598 for only serious buyer.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari ya weekend wana jamvi! Tafadhari, nahitaji kununua HONDA CRV-Used. Je zina matatizo gani ambayo ni common? Je ni gari nzuri kwa matumizi ya mwenye kipato cha kawaida? Msaada...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
HTC ONE for sale iko kwenye box yake nyeusi...600000 only.pm fo details. www.gsmarena.com/htc_one-5313.php
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta laptop nzuri aina ya dell
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Lazima viuzwe leo ama kesho. Futi 3 kwa futi 6. Piga 0683-318-021
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Nauza galaxy s3 ndani ya box as cheap as 450000 only.pm fot buznez! :-).Picha znankatalia ntazaplod tena!
0 Reactions
0 Replies
766 Views
ipad 2 for sale wifi only at very good condition for 300k. contact 0654272339
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Wale wadau wa mambo yetu yaleeeeee… hapa utapata bundle la gb 5 to unlimited mwezi mzima…kwa watumiaji wa vodacom pia unaweza unlock simu ya huawei ascend y300 na 200 kwa elfu 18,000 tsh na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
nanunua simu tajwa hapo juu ni pm tuelewane
0 Reactions
0 Replies
933 Views
-Name: Lenovo -Operating System: Android -1 SimCard -WLAN: 802.11 -Front Camera: YES -Back Camera:NO -Ram: 1.2 Ghz Price: 350,000/- ( negotiable/ makubaliano ) Serious buyer check me +255 783...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nauza simu yangu ya blackberry curve 2 haina tatizo lolote sababu za kuuza naitaji nauli ya kwenda msibani nauza shiling 150,000 picha zaid whats app , 0712505049
0 Reactions
1 Replies
1K Views
samsung s4 clone nauza.simu ni mpya kabisa ina kila kitu chake bei 220,000 tu unaletewa mpaka ulipo.CLONE ina screen protector na unapata na kava lake
0 Reactions
14 Replies
2K Views
HTC one s.....mpya guaranteed 1year...sh.3,70,000/=...ipo Dar..ni pm.
0 Reactions
1 Replies
890 Views
TOYOTA HILUX 2.7 VVT-I Double Cab for sale: Year: 2007 Mileage: 138,401 km Transmision: Manual Colour: Black. Price: 9,000,000/= Tsh Contacts: 0769142586 or fadhilipaulo@gmail.com General...
0 Reactions
44 Replies
16K Views
Kwa wapenzi wa mziki , tunatoa mafunzo ya mziki , kujifunza kuimba, kupiga gitaa na Kinanda ... Gharama ni sh 30,000/= kwa siku tano i.e mafunzo ya vocal ( vocal training) 30,000/= Kupiga...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Waheshimiwa Habari, Mi nina shida kwa wakati huu ambapo nipo wilayani na mpango wa internet ndo uko chini balaa.Nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu ni kwa njia gani naweza pata huduma ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nauza bb curve 4 bei 200k(neg).0659626782
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Kwa wale wakazi wa Dodoma na wanao tarajia kuhamia Dodoma kuna Nyumba Maili Mbili kabla ya kuvuka daraja ukiwa unaelekea Arusha/Kondoa upande wa Mashariki inapangishwa. Ina room 3 moja ni self...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kiwanda kidogo cha kukamua alizeti mjini Morogoro. Uwezo ni kukamua tani 6 kwa saa 10, hivyo kwa siku nzima ya saa 24 ni kukamua tani 12 hadi 14. Mafuta yanachujwa mara mbili. Wanatafutwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom