I seriously need a used LAPTOP in a mint condition.
It must atleast have a webcam,HDD 100 GB,Ram 2GB,Processor 2Ghz.
My budget 350000 TZS
Call/Text/WhatsApp 0752385949
Anaeuza moja kati ya htc one au galaxy s3 used nahitaji kununua kikubwa iwe kwenye hali nzuri bei maelewano,kwakua sipo sana online mwenye nayo/anaeuza anicheki kupitia 0752177217
mileage 93000km,white in color,cc 1490, good condition, for serious buyers nicheck whatsap 0719 155904 nikupe picha na bei,napatikana dar, reg namba ni C
Jipatie iPhone 4s yenye capacity ya 32 GB ikiwa na accessories zote kwa bei poa kabisa ya TZS 600,000. Kwa wale ambao wapo interested tuwasiliane kwa PM.
Ofisi yangu ipo Mwenge, Dar.
Wakuu nauza mashine tajwa hapo juu ina ram 2gb, processor core 2.00 ghz, 64 bit os, window 7 professional, hdd 250gb, dvd rom RW ipo kwenye hali nzuri pia ina tatizo la betri , Bei ni 380,000...
Nauza simu aina ya Samsung S4 kwa bei nzuri kabisa Tshs 500,000/=. Simu ni mpya kabisa na zimetengenezwa Korea na unapata warranty ya mwaka mmoja. Zimebaki simu chache. SIII Tshs 300,000/=. Kama...
Wadau habari zenu.?
Baada ya utafiti wa kwenda sehemu nyingi za starehe na burudani,nikaja kugundua kuna umuhimu wa sehemu hizo kuwa na WIRELESS INTERNET CONNECTION,hivyo basi nachukua nafasi...
Habari zenu wakuu.Natumia Nokia Lumia 610, Ni black yenye storage 8GB na OS ya Microsoft Window 7.5 Mango. Bado ipo ktk hali nzuri ya kuvutia. Nataka nibadili upepo wa OS, toka Window kwenda iOS...
Mwenye chumba cha kupanga maeneo ya Upanga au Magomeni mapipa i.e karibu na Muhimbili hospital naomba uni contact...
Hata kama ni nyumba ya NHC haina shida
Umeme na maji muhimu
Nikipata self...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.