Nauza GX 110 VVTI, ECONOM, KM 11/Litre, mpya imepaki, ipo geita, Tsh. 12,000,000 bei ya kuanzia kupunguziana inakubalika, ni cc 2450, kiyoyozi kipo full, redio + CD inafanya kazi na ya ukweli, km...
Nyumba inapangishwa iko maeneo ya kinondoni karibu na biafra, nyumba inasebule kubwa,dining,vyumba vitatu na kimoja ni master bedrum,maji 24hours. Nyumba inaparkng gate,fance. Kwa mawasiliano piga...
Nzei model ya 2004
km 79000
cc 1500
Imesajiliwa dec 2013
iko kwenye hali nzuri
ml. 11 na laki tano unachukua gari.
Wasiliana kwa 0782 239892, 0657 326169 au 0713 307072
Tunauza used laptop toka Marekani, United Kingdom na Dubai , bei rais , tuna laptopa mbali mbali , Dell, Samsungs ,Toshiba bei yetu kuanzia laki 2 na nusu na kuendelea ,
for more information...
Ni chumba na baraza, na choo na bafu lako binafsi na jiko la ku share.nyumba ipo ndani ya gate na ina maji na mazingira ya kuridhisha sana.kodi kwa mwezi ni 180,000/-, utalipa kwa miezi sita sita...
Wadau..mimi sio muuzaji wa hili gar bali muhusika kaniomba nimsaidie kupost hapa.# yake ni 0784806980
Specifications:
Year of manufacturing 1998, engine capacity 1990, road tax up to date, mileage...
Habari wana bodi
Mimi ni mkazi wa Arusha.Natafuta soko la Ruby,pure Ruby ya kiwango cha juu.mfafanuo wake uko hivi
Block 100kgs
kapishon 20kg
sociate tani 20.
kwa yeyote ambaye ni mnunuzi au...
Habari wana jamvi,nahitaji muhasibu mwenye diploma awe tayari kufanya kazi mazingira ya vijijini kwenye site za ujenzi kwa aliye tayari tuwasiliane kwa akamanyusi@yahoo.com.
Simu ya startimes yenye king'amuz(yaan unaweza angalia tv chanel za startimes Bure).ni android ina watsapp,camera,Bluetooth,touch screen,fm radio and WiFi....bei 80,000/=tsh..maelewano...
Eneo/kiwanja kinauzwa, robo heka, panafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kuishi, umeme na maji yapo jirani sana. Kipo kisarawe jirani kabisa na lutheran junior seminary. Bei ni 2.8m, hakuna udalali...
Gari aina ya VW POLO linauzwa,
Mwaka 2001
Transmission: Automatic
Petrol, with 1400 cc
Mileage; 89,000kms
Gari lipo Arusha.
Bei ni 5.8million.
Mawasiliano; 0786-305664
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.