Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Anayeuza BlackBerry z10..Nahitaji...ani Pm Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
792 Views
location-kimara mwisho details-gari linafika hadi nyumbani -ina vyumba vitatu ,master room na sebule -vyumba vya nje(mabanda ya uwani) viwili(2) -choo cha nje na...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari, nahitaj hyo cm hapo lumia 720 iwe used hata mpya bt iwe bei chee! Kama unayo nicall 0653457659 npo dar
0 Reactions
4 Replies
856 Views
Mwenye nayo tubadilishane na yakwangu s2 na pesa kidogo ila iwe katika hali nzuri maana yangu iko poa kabisa aliyetayari ni pm
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Habari wana jamii forum, toyota rav 4 inauzwa iko katika hali nzur, detail zake ni hizi hapa; 2000cc, Year; 2001 na imetembea 115000km. Bei; 16millions For serious buyer call me 0653 457659 thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum, nimeona n vyema nifungue fursa ya kuwauzia watu saa za ukutani za design mbalimbali kwa bei ya jumla! Kuna saa za love, kitchen, dining, sitting room na kadhalika! Kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wapenzi jamii forum! Habari zenu! Yaani huu urasimu wa tigo company kupata line ya tigo pesa du! naombeni mtu anayeweza kunisaidia kupata line ya tigo pesa nitashukuru sana. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau napangisha Nyumba ipo Pugu Kichangani bei ni Tshs 200,000/= Yeyote anayehitaji anipigie kwa simu namba 0687702626. Nyumba ina vyumba 3, sebule,dinning,jiko choo cha ndani.Kisima kipo. Haina...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wandugu ninauza gari yangu aina ya SPACIO ya mwaka 2000.imetembea 105300km na iko ktk hali nzuri.bei ni 7.2million na maongezi yapo.Gari iko dar. Angalia attachments hapo chini.kwa mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ukiacha upigaji picha,ku kurun social networks na mengineyo..lakin pia,hiki ni moja ya uwezo nilionao ambao sikuusomea,ilinibid kujifunza ili niwe na uwezo wa kufanya vitu vingi kwa wakati...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wale wanaoijua kampuni hiyo je ni nzuri kwa kufanyia field.msaada tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
698 Views
Wadau kama kichwa kinavyojieleza nauza samsung mega 6.3 kama mpya imetumia wiki 2 tu...bei 800000/= Details GENERAL 2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
anaeuza betri za e71 na e5 orignal naitaji, anauza nchek pm,tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza...nauza samsung mega 6.3 mpya nimetumia wiki 2 tu bei 800000/= Details GENERAL 2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G...
0 Reactions
6 Replies
928 Views
Habar za wakati huu wakuu.! Nauza King'amuzi cha startimes pamoja na antena yake,kipo Katika hali ya upya kabisa.. Bei::60000 Nipo dar.. 0765050591..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa aliye tayari kuanza biashara nina tigo pesa till na mashine ya selcom vyote pamoja 1,300,000 line 700,000 mashine 600,000 karibuni napatikana kwa namba 0712 454307
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Hello Benjamini, mzee wako kafariki Mbeya jana please upatapo taarifa hii wasiliana na ndugu zako.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Simu tajwa hapo juu inaitajika bajet laki 1 hiwe yatigo full box bila kusahau chaja na headphone isiwe na scratch yoyote iwe imetumika muda mchache tokea hinunuliwe km una PM tufanye biashara...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
nauza za voda,zile mpya za huawei,jumla na lejaleja... anaitaji anipm
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama ionekanavyo waungwana bado iko vizuri ukiafiki ni pm tufanye biashara.
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom