Je wewe ni mjasiriamali na ungependa kufuga kwa faida fuga kuku chotara mayai yao utayauza ghaali pia wana nyama nyingi sana natotolesha vifaranga nakuuza karibu
NYumba inapangishwa Maeneo ya KIgambon mita chache kutoka Feri.
Ipo umbali wa chini ya nusu kilometa kutoka Feri
Ina Bedrooms kubwa 4
Seating room moja kubwa sana
Dinning room moja
Jiko (Kitchen...
nauza simu yangu moja aina ya Sony Xperia Ion HSPA (LT28h)
Camera 12 Megapixel
Storage 13 GB
ina kimstari cha crek kwenye screen lakin hakiaffect utumiaji wa simu na hakionekan kwa urahisi.
Bei...
Habari Wadau,
Nauza BAJAJ MIGUU MITATU
ZIKO DAR ES SALAAM KINONDONI
MOJA NI T..BVV NA NYINGINE NI T...BKS RANGI YA BLUE
ZOTE ZINA KADI HALISI,ZIMELIPIWA INSURANCE NA ROAD LICENSE MPAKA NOV...
Namsteeeeeeeeeeeeeee!
Jamani karibuni Marine Boards, grade 1, mali ya ukweli na uhakika. Kwa Daresalamu unakufkishia ulipo. 12mm ni 48,000 na 18mm ni 58,000.
Nimebakiwa pisi 3,000 tu! Wahi maana...
Nahitaji chumba kimoja cha kupanga.kiwe kikubwa na kizur,vyoo vizur na visafi,nyumb iwe na wapangaj wachache,mazingira mazur na maji yawepo..maneo ni mabibo,kinondon,nnyuma ya ubungo plaza..kama...
Kiwanja kipo karinu na barabara ya lami ya bagamoyoroad kipo mahali patulivu kama ujuavyo maji barabara na huduma zote muhimu huku mbezibeach hatuna tatizo, nyumba zimejengwa kwa mpango na ni...
Wapendwa ntashukuru kupata bei ya kutoa hiyo gari from Dar port na gharama za TRA kiais gani,
generally kwa CIF $3300. to dar port itakuwa TSH.ngapi hadi nchi kavu(kwa naaba ya tayari kwa...
Nyumba ya vyumba 3,master bedroom moja
Jiko na store ndani na nje
Nafasi ya kupark magari 3 na ina fensi ya ukuta
Iko tabata segerea mwanzoni kabisa
Umbali kutoka kituo cha basi ni...
Nyumba ni nzuri ya kisasa,iko katika mazingira mazuri, inatumika kama dispensari kwa sasa. Bei ni Tshs 250 Milioni ila inapungua.
Tuwasiliane 0715 46 74 47
Ninahitaji kiwanja maeneo ya Gezaulole, Je inaweza kuwa ni Tsh ngapi? Ukubwa ni kuanzia square meter 700 hadi 1000.
Na ningependa pale Geza mwanzoni sio kule mbele kuelekea Kimbiji.
Asante...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.