Classic DJZ ni kundi jipya la Ma DJZ wakali kutota hapa Tanzania Dar es salaam
pia ndani yake kuna wasanii kibao na ma dansa wa kike na wakiume
kuna models wa kike pia!
kwa mahitaji ya Burudani...
Kwa tulio karibu na Mlandizi tuwasiliane,huduma mbali mbali kama Windows installation,drivers,games and other programmes.
Pia ushauri kwa auzaye au anayehitaji kununua computer au vifaa vya...
Habari wana JF
Kwa yoyote anayeitaji huduma ya ip pbx,networking cabling,cyberoom deployment na kufunga camera(cctv) na mengine mengi call me 076791197. au ni email salum56@gmail.com
Tusaidiane...
Ninahitaji mtaalamu atakayenisaidia ku-design landscape kwenye nyumba yangu iliyopo Mbezi Msumi. Nyumba ipo kwenye kiwanja ambacho upande mmoja kuna mteremko na msingi mrefu. Naomba uni-PM kama ni...
FUNDI SIM/wanaopenda kujifunza kutengeneza sim kwa kiwango cha juu.
Naitwa Jackie Maduhu nyumban misasi Mwanza. But now niko nchini Uganda kimasomo, niko chuoni newcastlehighsky generation...
Natafuta laptop iwe mpya au used sitojali ila iwe kwenye hali nzuri (isiwe na michubuko), iwe na cd room, hard disk 160gb na kuendelea juu,
Nipo arusha Bajeti yangu 250,000/- mwenye nayo karibu...
Nauza simu tajwa hapo juu kwa sh. 130000/= ina mwezi mmoja tangu itoke dukani , utapewa kila kitu kama nilivyoletewa ikiwa na kila kitu ipo katika hali nzuri sana, bei haishuki kiukweli...
Ina ukubwa wa SqM 400, ina vyumba 6, sitting room 1 na fremu 2 za biashara. Ipo Kawe "A" imetazama barabarani. Bei Tshs 80 milioni. Tuwasiliane 0715 46 74 47
jipatie king fish safi kabisa samaki walioko katika standard level hapa naongea na wakazi wa moshi kwa saana just wanatake one day ffrom thy water still wako in good test kilo 10,000/=only elfu...
Wakuu mambo vipi? Naitaji mtu wa kubadilishana nae simu mimi natumia samsung galaxy y pro... screen touch and keypad.... single line.... 3G.
Naitaji kubadilishana na smart phone yoyote lakini sio...
details:
gari ni toyota Alteza,Model Lexus is200,Model Number JTDB51,Engine Capacity 1762.,year1999,transmission:manual,
serious buyers wani pm...
deal on desk
Wakuu,
Kwa anyehitaji nauza mbwa wadogo (Puppies).
Aina ya mbwa ni German Shepherd
Idadi: Wapo Sita (Vijike 2, na vidume 4)
Chanjo: Wameshapata chanjo ya DHLP
Bei: TZS 300,000/-
Anayehitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.