Plot ina nyumba ya vyumba vitatu, Master, jiko, store, Car park, Vyumba viwili vya nje. Ina ukubwa wa 17mita kwa 36mita.
Inatazamana na Magorofa ya sigara, inapakana na barabara ya...
HAbari wana jf, najitaji mtu anayeuza tshirt aina ye jezi ambazo ni original. aniuzie kwa bei ya jumla. ama anielekeze duka linalouza. pia anipe na bei ya jumla 0754078015
nakumbuka nikiwa dar...
Iwe imetumika mda usiozidi miezi sita isiwe na tatizo lolote na iwe nzima bila michubuko yoyote na matairi yawe fresh sio kipara ni pm ikiwezekana attach picha yake ukicomment hapa.nipo Dar Asanteni
Hey ajee.!! wakuu na shida na hp elitebook 2570p iwe katika mazingira mazur!
Ina specification zifuatazo,
500gb hard disk,
8Gb ram,
Core i5,
Muonekano wa nje,
Fingerprint,
Keyboard yake herud...
Naomba kuelemishwa nataka kulima kilimo cha vitunguu kuanzia ekari tatu. Naomba msaada nianzie na mtaji gani na gharama yote nitakayoingia mpaka nitakapovuna. Pia masoko nitapata wapi na kwa bei gani?
Nyumba inauzwa ipo Kibamba Shule kilomita 1.5 kutoka Morogoro Road, sehemu ni nzuri ina eneo kubwa (miguu/feets 44 x 50 AU/OR 39mita kwa 49 mita AU 1911 square meter..eneo ni kubwa zaidi ya robo...
TOYOTA RAV 4 J FOR SALE IN DAR
Price: Tshs 11,500,000/=
Contact: 0769142586
Year: 2003
Mileage: 59,600 km
Steering: Right
Transmission: Automatic
Fuel...
Wakuu huu mzigo uko sokoni kwa anayeuhitaji.
Ni ya mwaka 2004
Imesajiliwa dar dec 2013
Imetembea km 79,000
Imelipiwa kodi zote muhimu
Gari iko dar na iko katika hali nzuri sana
kwa anayehitaji...
Haya sas kwa wale wapenda chating and kushare files
Try this
Check out "Telegram" - https://play.google.com/store/apps/details?id=org.telegram.messenger
Iko poa zaid ya whatsapp
Unashare file...
Tunatafuta noah ya kukodisha kwaajili ya distribution kwa muda wa miezi sita, itakuwa inatoka from Nyerere road, inaenda samora, ali hassan mwinyi na kumalizia mlimani city.
IM me ili tuongee...
Iphone 4s 16GB memory, I Year warrant, mpya kabisa, naiuza laki 5. Nimeshindwa ku attach picha yake, nicheki watsapp 0777883861 nikuonyeshe picha na tuongee biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.