Nyumba ya kisasa Inapangishwa Ipo Kinondoni Karibu na Ada Estate....Ina Vyumba Viwili Vya kulala na Masterbedroom Moja...Ina Dining na Sebule kubwa...Parking Ya Gari Maji 24hrs.....Yote ina Tiles...
kuna kijana anaitwa emilwayne aliniuzia laptop humuhumu jamii forum! nikawa nataka aniwekeee window 8 ya 64 bits so ikabidi nimpe! kijana mwanzo nikaona n vbaya kumdhania vbaya kama tapeli, ila nw...
Wanajamii naomba mwenye kujua bei (market value) ya viwanja, kama nusu ekari maeneo ya Kunduchi karibu na Kunduchi Beach Hotel anijuze tafadhali. Niko mbali kidogo kupata Land valuer. Asanteni.
Toyota Mark X - 2005,ndo imeingia muda si mrefu
CC 2500
Unawasha gari bila funguo
Imetembea KM 88,000
Ndo nairegister sasa
Bei ni 19M
If,we can do business,plse call:-0755 927881
Hi Watanzaia,
Sisi ni vijana tulioamua kuunda umoja wetu na kutengeneza workshop ambayo baadaye tutaisajili na kuwa kampuni kamili.
Tunashugulika na ALUMINIUM AND GLASS WORK,METAL FABRICATION,AND...
Laptops for sale,
Hp elite book 8440p
Specifications,
Core i5 (processor 5), 4gb ram, 500gb hard disk unawez ukabahatika 750gb, finger print! Na specification kibao!
laptop n mpya sio used! N...
Nahitaji tripod bei isizidi TZS 30000 kama unayo uni PM tufanye biashara au kama unajua duka zinapouzwa tafadhali uniambie ila isiwe Game supermarket kwani kwa sasa hawana.Pia kama una flash aina...
Yard inahitajika ukubwa heka 2 na kuendelea, maeneo ya Kurasini, Mandera road,Pugu road,Mwenge na Mikocheni. Ni kununua na si kukodi.mawasliano 0773 944 944
Wakuu habari za jioni,
Nahitaji gari ya kutembelea yenye fuel consumption nzuri pamoja na durability and should be Sedan!
Nimeshauriwa kununua Toyota Carina au Corolla Sedan
Kuna tofauti kubwa...
heshima kwa wadau wa jamii forum. Nahitaji kuwa na tablet ya sumsung au ipad ya apple kwa yoyote anayeuza. Budget yangu 300000. Nipo arusha kama unauza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.