Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Trim color,cd radio,new tyres, engine 4s,good condition, some scratch on passenger door,ac need refill,but we can do it for you if tunaelewana.carina ed very good looking.call 0659574107.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana JF! nauza used Computer desktop 1pc bei 200,000/=Tshs haipungui Dell Optiplex 745 Intel Core 2 Duo CPU 2.00ghz 80gb HDD 1gb Ram memory DvD/CD Rw 17' Flat screen [FLATRON type-silver...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naunza mtungi wa gas wa manjis kg 15 bei chee(laki 1) umejaa gas na bufa kubwa{95 elfu) aina ya sansang yenye spika 2 na remot
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf naomba mnisaidie ni wapi naweza pata mahindi mazuri kwa ajili ya popcorn na gharama zake, nataka nianzishe hii biashara na mshine ya kutengenezea popcorn yenye kitoroli chake inayotumia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Iwe yenye uzio, chumba na sebule self, mitaa ya Isamilo, kona ya Bwiru au Ghana hata Mjini kati. Budget 150,000 kwa mwezi. Inaweza kua ya ku-share pia, say upande mmoja
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mfanyakazi wa ndani kazi yake kubwa ni kumulea mwanangu ataishi dar mm nipo kilimanjaro.malipo yake maelewano.mazingira ya kuishi yenye yapo mazuri.angalizo asiwe mtu mcharuko.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi ninajishughulisha na ufungaji wa wiring za tv,kamera za usalama yaani cctv,tv satelite dish,simu za ndani extensions pamoja na data net(intenate) ktk maofisi mahotel na majengo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, natafuta blenda kwa yeyote ambaye anauza blenda ya saizi yoyote anijulishe na bei
0 Reactions
7 Replies
3K Views
A samsung bachelor single door fridge available for only 580,000 with 2yrs warrant. Delivery its done as soon you press your order. cont:0718 268969.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau kuna mdau anauza gari aina ya escudo,colour green,ya kama mwaka 2008,kwa mawasiliano wasiliana nae 0784859131, bei ni 6.5 mil
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi nahitaji line za tigo pesa na Mpesa, mwenye nazo ani PM.
0 Reactions
0 Replies
861 Views
The vehicle is in a good condition,no accident history and well maintained.Price is 5mil Tshs +255717649099
0 Reactions
10 Replies
3K Views
UNREGISTERED BACK CAMERA, Alloy Wheels Power Steering, Air Conditioner, Navigation, Anti-Lock Brake System, Dual Air Bags, Fog Lights, Power Windows
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Tafadhali angalia maelezo kuhusu simu hii, its is the best phone! Inauzwa for 450,000/= Simu hii inakuja na rangi kama inavyooneka kwenye picha ya pili Kwa Gharama...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nyumba ina sebule na vyumba viwili, kimoja ni master, kina jiko tena kubwa tu, kina choo kingine cha public, tiles, aluminium windows, ndani ya fence na parking ipo. Maji yanatoka mara mbili kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua bei za madirisha ya aluminium ya size ya futi 5 kwa 5 na sita kwa sita with two and 3 shutters respectively. nahitaji kwa hapa Dar.
0 Reactions
10 Replies
15K Views
Wataalamu nisaidieni. Nataka mtu wa kunielimisha kuhusu HYDROPONICS. Ningependa mtu atakayenielewesha namna ninavyoweza kutengeneza bustani za hii.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
4GB ram 500GB HDD 4HRS BATTERY NVIDIA GEFORCE 2GB wireless,bluetooth,dvdrw,hdmi bei-780,000Tsh 3 months used Arusha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wapendwa samahanini kwa usumbufu nna katangazo kadogo,nnauza simu nokia x2-01,bei elfu 60,000 siyo mbovu na muonekano wake ni mzuri tu kwa atakaye hitaji ntampa namba,shukrani
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Hi people! Habari za muda huu? Nikwamba nauza simu ya tecno m3 tsh120000/= ni android 4.2.2 ina internal memory 4gb na external memory 8gb! Ram 512, na dual processor! Nimeitumia kwa muda wa 3months!
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom