Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Perfect App opportunity is about to go. You don’t want tomiss this opportunity of becoming a profit sharing member of this App. If youdon’t join it now during this opportunity, rest assured that...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
napangisha nyumba yangu ipo dodoma mjini maeneo ya area e ipagala. ina vyumba 4 full furnished . kwa mwezi nachaji tsh 1 milioni. kwa maelezo zaidi nitafute kwa namba ya simu 0658777859
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nashida ya mabungo naomba anaejua soko gan naweza pata mabungo anisaidie
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahali:MANZESE Sifa:Awe amemaliza kidato cha nne mwaka 2013/2014 awe na Chemistry B+ English A biology B+ math B mshahara:150,000/= PM au piga 0657 445 777 ahsante.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nauza cm HTC one s imetumika wiki mbili tu..bei sh.400,000/=....ipo Dar.ni pm....nakuletea ulipo...guarantee 1 year.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ninasehemu nzuri ya makazi ambapo. wanaweza ishi watu 4 napapangisha kwa. fedha za kitanzania milioni mbili kwa siku 60. kwa maelezo zaidi nitafute kwa 0658777859
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Gari aina ya toyota passo inauzwa bei ni tsh 7m, cc 1000,sports rims,spoiler
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kiwanja kiko kijiji cha ecolojia cha Mlingotini Bagamoyo. Kina ukubwa wa sq. Meta 2385 na ni kiwanja cha ufukweni mwa bahari na kinauzwa na Shule ya Msingi Mwasama. Pia kiwanja hicho kina nyumba...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Simu ya startimes inauzwa...ni android.touch screen 3.5 inch.ina application ya digital tv(unaangalia tv bila kulipia),Bluetooth.fm radio.camera,WiFi,memory card 4gb.1year guarantee..bei...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Auto Washing machine Front load 7kg.Samsung -1702 @1,100,000 LG- F10c3qdp2@980,000. 2years warranty. cont:0718268969
0 Reactions
3 Replies
781 Views
kwa yeyote aliye na uitaji wa ramani ya nyumba au kupata ushauri wa ujenzi. tuwasiliane kwa no 0659497070 au 0767232509 ofic zinapatikana tabata kwaa ushauli zaidi.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni mtama unauzwa, kwa mnunuzi wa kuanzia tani 1 na kuendelea. bei ni: tshs. 370/kg kwa mtama mwekundu. tshs. 470/kg kwa mtama wa kaki. Usafiri siyo shida kwani magari yote ya mizigo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninatafuta mnunuzi/soko la mtama mweupe..nina tani 150. Ni pm kwa maelezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nauza simu hii bei nafuu haina tatizo kabisa nicheki hapa 0712505049 nipo whatsup kwa picha za simu zaidi
0 Reactions
0 Replies
941 Views
fuata link hii na like bofya micropage.opera.com/airteltz/qmq267tm1s.html?ref=profile&utm_source=facebook&utm_medium=facebook_user&utm_campaign=cobranded_airteltz&fb_source=timeline#_=_
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Habar gani Wapendwa? Poleni na Mjukum ya kila siku, naja tena hapa kwa hili, natafuta Engine ya Gari aina hiyo hapa. Make - NISSAN Model - CIVILIAN Year of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sheikh mkuu wa mkoa wa Tabora, Sheikh Mavumbi amefariki Dunia leo asubuhi mjini Tabora na mazishi yanatarajiwa kuwa Kesho mjini Tabora.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Bei mil 57 Year 1996 Km 762000
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu, natafuta pikipiki nina laki tano tuuu .. Haizidi hata senti , mwenye nayo anitumie picha
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Back
Top Bottom