Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
BAJAJI INAUZWA. Bajaji ya aina ya piaggio ipo katika hali nzuri sana, inauzwa ikiwa imetembea km chache tu, bei ni nzuri na inazungumzika. Ipo Dar es Salaam, kwa mawasiliano zaidi piga Na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wajumbe,Samahani kwa usumbufu ila kuna mbongo ambae yuko katika jiji la Johannesburg ambae anajua sehem wanayouza viatu na Nguo kwa jumla na je kwa makadirio gharama ikoje na ni njia ipi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani nauza gari langu aina ya landcruiser vx v8 amazon limetembea mwaka mmoja lina km 92375 sh 11000000 nataka kubadilisha fashion, mwenye kuhitaji anipigie 06844247989 gari ipo mwanza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa mwenye gari tajwa hapo juu anauza,iwe kwenye hali nzuri,tuwasiliane budget yangu ni 5m
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, mashine ipo safi kabisa. Price tzs 300,000. Negotiable call or text 0715 490 570 reason. Nahama Dsm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, tuhusike na kichwa juu hapo. Wenye hizo simu wanajua tatizo nnaloongelea. Mawasiliano: 0655003510 / 0753196849 Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa yeyote yule anaye uza ps2 yenye kutumia usb flash ani PM
0 Reactions
0 Replies
778 Views
wadau nina used engine spares kwa wenye isuzu tani 10. modeli ya injini ni 6he1. sema unachohitaji nami nitakuletea pale ulipo. hii ni kwa dar es salaam, mbeya na iringa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa maeneo ya tabata luwiti ina vyumba vitano na sebule, yafaa kwa biashara na kuishi kwa kua ipo barabarani, pia ina eneo dogo la kuongeza vyumba kama vitano kwa wanaohitaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Samahani ila nlikua naulizia mwenye kujua kuhusu Decorder ambayo inaweza kuweka kadi mbili ya abu dhabi na aljazeera na target yangu ni kulipia al jazeera kwa ajili ya kuonyeshea...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wanajf... Naomba kuuliza wapi nitapata mbegu za shayiri (barley), kwa anayefahamu bei na sehemu inapopatikana naomba anifahamishe. Shukrani....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Did you watch this video? Listening to this video could be the only thing you will notforget the rest of your life http://youtu.be/ihF2hxg758I
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Anatakiwa Mwl wa French, kufundisha KIBAHA, alie tayari ani-pm, preference mwl wa kike!
0 Reactions
1 Replies
691 Views
naunza mtungi wa gas wa manjis kg 15 bei chee(laki 1) umejaa gas na bufa kubwa{95 elfu) aina ya sansang yenye spika 2 na remot kwa mawasiliano ni pm kama upo arusha mjini
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Uliwahi kuisikiliza video hii? Kusikiliza video hii kunaweza kuwa kitu kikubwa ambachohutakisahau kwenye maisha yako milele http://youtu.be/1IVB5YueolU
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Nauza simu aina ya Tecno Phantom Pad N9. Used kwa miezi 3 sasa toka dukani Tarehe Dec/30/2013. Contacts: 0787 459 850 Tsh. 320,000/= Price negotiations acceptable!! Sifa za Pad hii ni kama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwenye contena la futi 20 liwe Dar,naomba anipigie tufanye biashara 0716797416
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Tunatengeneza pochi nzuri kwa bei nafuu,ikiwa una kitchen party ungependa kumechi na pochi,basi unatupa kipande cha kitambaa kidogo ambacho umeshona gauni/sketi yako then tunakutengenezea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Join DTBi & COSTECH for an informative seminar presented by Mr. Carl Davis Jr, President/Executive Director of Silicon Valley Black Chamber of Commerce. He will address how to understand the...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Wana JF nina kagari kangu Nissan almera naiuza km 100,000 cc 1600 Rg: T728 CHW PRICE: 9,800,000/= IN VERY GOOD CONDITION CONTACT: 0764990975 eazy1982@yahoo.com OR NI PM Hio ndio bei ya kuanzia na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom